Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM Magufuli, yaliyotokea Tarime ni aibu tupu

Wanasema katumwa na mkulu
 
Hakuna jimbo ambalo rushwa haikutolewa, kilichofanyika ni kuzidiwa kete tu.
Ccm na rushwa ni sawa na mwalimu na chaki, mwanafunzi na kalamu.
 
Magufuli hawezi kufumbia macho rushwa

Umesema kweli. Magufuli hawezi kufumbia macho rushwa. Lakini wengine rushwa kama kawaida. CCM wanampa kazi nguvu sana Rais wetu. Angelikuwa na watu sahihi, wenye nia kama yake na uzalendo kama alionao, bila shaka sasa hivi tungekuwa mbali sana.
 
Ccm haifai kabisa twende CHADEMA.
 
Hayo yaliyofanyika kuna Jimbo la uchaguzi ambalo mgombea wa CCM hajafanya hivyo??
 
Acha ya Majimbo ya Tarime, Jimbo la Rorya ndilo lililotia aibu kubwa ya rushwa. Walioshika namba 1,2,3 wote wameshinda kwa kutoa rushwa. Tunawataka watu wa Usalama na Takukuru watoe ripoti isiyokuwa na upendeleo kuhusu uchaguzi wa Jimbo la Rorya.
 
Huu ni uongo fitna umetumwa na walioshindwa kura za maoni, sasa endelea kumpigia Majungu mshindi wa kura za maoni kisha kamati kuu warejeshe jina la mshindi wa kura 1 ili chadema watetee jimbo lao
 
Acha ya Majimbo ya Tarime, Jimbo la Rorya ndilo lililotia aibu kubwa ya rushwa. Walioshika namba 1,2,3 wote wameshinda kwa kutoa rushwa. Tunawataka watu wa Usalama na Takukuru watoe ripoti isiyokuwa na upendeleo kuhusu uchaguzi wa Jimbo la Rorya.
Khaaa.hzo ndo pumba kabisa.ngoja tuwataftie feni za magazet ya buku
 
Wajumbe wameweka maslahi binafsi mbele
ccm kote Tanzania nzima wajumbe wamekula pesa misaada ya wagombea wote hakuna asiyetoa pesa ingawa wanazidiana katika dau, kama ni tuhuma za Rushwa ni ccm yote inanuka Rushwa, tunawashukuru ccm endeleeni kuwapiga vita ccm wenzenu ili chadema waletewe ccm dhaifu wapate kushinda chaguzi bila usumbufu
 
Huenda huko Dodoma kukaja kuwa na Aibu kubwa kwa kupokea majungu kisha kuwakata watu kwa uonevu
 
Huenda huko Dodoma kukaja kuwa na Aibu kubwa kwa kupokea majungu kisha kuwakata watu kwa uonevu
Msiamin sana hayo wadau mana naona mnatokwa na mapovu kwel yan.hyo threda imepoastiwa ili tujue na cyo kushndana kwa mafombou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…