GE2025 Mwenyekiti wa CCM Makete, Ngajilo: Ukikatwa usinune, lazima tumpate anayekubalika na Jamii

GE2025 Mwenyekiti wa CCM Makete, Ngajilo: Ukikatwa usinune, lazima tumpate anayekubalika na Jamii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Makete mkoani Njombe kimevunja ukimya na kusema mpaka sasa hakuna mtia nia wa nafasi yoyote ambaye jina lake limekatwa

"Ukikatwa usinune" kauli ya Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete mkoani Njombe Clement Ngajilo.

Akizungumza Julai 14, 2025 kwenye kikao cha wadau wa maji wilayani hapo, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete Clement Ngajilo amesema vikao vya chama vinaendelea na maamuzi yakitoka yatatangazwa na wale ambao watakosa kuteuliwa wasinune kwa kuwa nafasi zinazohitajika ni chache kuliko idadi ya waliochukua fomu.

 
Back
Top Bottom