PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Mnaotaka kugombea CCM acheni vitendo vya ukatili na roho mbaya

PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Mnaotaka kugombea CCM acheni vitendo vya ukatili na roho mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hongera kwake kwa kulikataa hilo, lakini kama isemavyo Zaburi 1:1,
jiandae kwa yajayo, maana huko alipo matamshi ya kupinga ukatili na roho mbaya ndio mtaji wao.
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya Ndg.Patrick Mwalunenge ameweka wazi msimamo wake kuelekea Uchaguzi Mkuu kila mtu anayetaka kugombea ndani chama hicho kuacha vitendo vya ukatili na roho mbaya kitu ambacho si kizuri kabisa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Dah hapo alipopiga hapo🤔🤔🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
1001172625.png
 
kama ndie muhusika wa kumpoteza aliepotea, sasa anasafisha hewa! Msiwe wepesi kihivyo
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, Patrick Mwalunenge amewataka wanachama wa CCM kuwa waadilifu na kuepuka rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025.

Mwalunenge ameyasema hayo hivi karibuni katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyoboreshwa mkoa wa Mbeya akisema kuwa mbali na rushwa ya mali, kumekuwepo na rushwa ya fitina na majungu ambayo WanaCCM wanapaswa kujiepusha nayo.

"Rushwa ni adui wa haki, tujue leo tutapokea rushwa ya mtu ambaye tunamhitaji sisi WanaCCM lakini yawezekana huyo mtu wananchi wasimhitaji, tutapata shida, na tutakigharimu chama", ameeleza

Chanzo: Jambo Tv

 
Mungu hayupo ndio , Thibitisha uwepo wa Mungu ?

Note: siungi mkono ukatatili na uonevu, no reform no election #
 
Huyo, ndo Basi Tena
Huu ni muhula wake wa mwisho kwenye nafasi yake,
Kama nawaona uvccm walivyofura kwa hasira huku wakianza kumfitinia kwa mwenyekiti Taifa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom