Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Dah hapo alipopiga hapo🤔🤔🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya Ndg.Patrick Mwalunenge ameweka wazi msimamo wake kuelekea Uchaguzi Mkuu kila mtu anayetaka kugombea ndani chama hicho kuacha vitendo vya ukatili na roho mbaya kitu ambacho si kizuri kabisa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Siyo kuuwawa kikatili?Anaweza kufanyiwa figisu na hatimae kufukuzwa kwenye chama.
Inawezekana pia.Siyo kuuwawa kikatili?
Kwa maneno kidogo tu haya anaweza kusamehewa dhambi zake zote,hata wakimuua basi wajue wamemuwahisha kwa baba kwenye raha ya mileleSiyo kuuwawa kikatili?