Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia.
Hatua yako ya kuandaa safu ya unaotaka wawe wabunge 2025 tofauti na utaratibu wa chama haukubaliki. Unawagawa wanachama kwa maslahi yako binafsi na huyo dogo.
Siku zako za kuumbuka zinahesabiwa pamoja na ukwasi ulionao uliojaa kila aina ya shaka. Tenda haki kwa wanwchama wote bila kuwabagua kama kondoo katikati ya mbuzi.