Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Nguvu ya hela ya Abdul na mama yake.Kwani Mwenyekiti wa CCM mkoa ana nguvu gani ya kuweza kupanga safu ya Wabunge?! 🐼
Hawa CCM walisha wafanya mazezeta, endeleeni kuwatengenezea maisha ilihali nyie mkididimia kwenye umasikini mkubwa sana.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia...
Ummy atavuna alichopanda jeuri yake kwa watu wa mwakidila aliwaalika dodoma halafu akawakimbia kazi anayo!Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia.
Hatua yako ya kuandaa safu ya unaotaka wawe wabunge 2025 tofauti na utaratibu wa chama haukubaliki. Unawagawa wanachama kwa maslahi yako binafsi na huyo dogo.
Siku zako za kuumbuka zinahesabiwa pamoja na ukwasi ulionao uliojaa kila aina ya shaka. Tenda haki kwa wanwchama wote bila kuwabagua kama kondoo katikati ya mbuzi.
Mwenyekiti ndiye mpunga mapepo wa mama na ndiye anamuagua mtakomaMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia.
Hatua yako ya kuandaa safu ya unaotaka wawe wabunge 2025 tofauti na utaratibu wa chama haukubaliki. Unawagawa wanachama kwa maslahi yako binafsi na huyo dogo.
Siku zako za kuumbuka zinahesabiwa pamoja na ukwasi ulionao uliojaa kila aina ya shaka. Tenda haki kwa wanwchama wote bila kuwabagua kama kondoo katikati ya mbuzi.
AhsanteMwenyekiti ndiye mpunga mapepo wa mama na ndiye anamuagua mtakoma
Anaitwa nani mwenyekiti wenu?Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia.