Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MH. MWENYEKITI WA CCM TAIFA,
Kwa unyenyekevu nakusalimu kwa salamu ya chama chetu ..... Kudumu Chama Cha Mapinduzi.
MH. MWENYEKITI,
Mimi leo nimeona ni vema nijitokeze kwako tu ili nikuombe wewe unipendekeze jina langu ili niweze kuwa KATIBU MKUU WA CCM TAIFA. Nimefanya hivyo kwa sababu naamini wazi kuwa naamini nitaweza kuitumikia nafasi hiyo kwa weledi mkubwa na kuleta tija kubwa katika chama chetu na Taifa kwa ujumla.
Vile vile nimeamua kuomba nafasi hii kwako kwa kupendekeza jina langu kwa sababu nitakusaidia sanw wewe Mh. Mwenyekiti kwa kuhakikisha kuwa chama chetu kinafuata misingi ya haki na kutimiza wajibu wake kwa wanachi na wanachama wote hasa kwa kuisimamia serikali kutekeleza yale yote ambayo chama imehaidi kuyatekeleza, na hili litafanikiwa kwa kuhakikisha viongozi wazembe walioko serikalini - hasa wa kuchaguliwa kama vile mawaziri au wabunge, na wateule wengineo au watumishi wasiowajibika wanashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu za kichama ikiwemo kukushauri Mwenyekiti uwaweke pembeni kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Pia nakuhakikishia kuwa nitaleta umoja ndani ya chama na kuondoa makundi ndani ya chama chetu.
MH. M/KITI kwa hali ilivyo Sasa, chama chetu kimegawanyika katika makundi sana na hii sio siri - makundi yamerudi na Yana nguvu na yanajiandaa kwa ajili ya 2025. Wana mtandao wapo kazini - kuanzia kusini hadi kaskazini, magharibi hadi mashariki, bara hadi visiwani. Jambo hili sio siri lipo na jiandae kwa upinzani mkubwa kutoka ndani ya Chama unachokiongoza.
Kwa moyo wa utumishi uliotukuka (17 years as a government employee) NISEME kwa kurudia tena: NAOMBA UNIPENDEKEZE JINA LANGU KUWA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA.
Kwa kifupi wasifu wangu ni kama ufuatao:
- Elimu ya juu ya Chuo kikuu ( ndani na nje ya nchi - 7 years abroad in two different countries - Scandinavia and Netherlands).
- Government employee - higher learning Institution
- Mgombea wa nafasi ya Spika ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya MH. Ndugai ku-step down.
- Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa, na nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM TAIFA ( japo nilifanyiwa figisu mkoani).
- Mgombea wa nafasi ya Ubunge kwa mwaka 2020, - ni Mgombea pekee ambaye sikutoa rushwa hata ya sh. 100 kuhonga wajumbe wa CCM na nilikuwa mtu wa 14 kati ya wagombea 32.
- SINA MAKUNDI - neutral person na sitegemei kuegemea upande wowote, kwangu nafasi hii itakuwa kiutendaji zaidi ( Mtendaji Mkuu wa Chama), no need to be biased to anyone.
Kama itakupendeza - CV yangu ipo hapo jengo la CCM WHITE HOUSE unaweza kuomba vijana wako wakakuletea mezani au vinginevyo naweza kukutumia more recent CV.
CODES: Mgombea nafasi ya Spika ndani ya Chama Cha Mapinduzi - CCM baada ya MH. Ndugai ku-step down, Mgombea aliyesomea Scandania - 6 years, and one year in Netherlands.
Nakutakia kila lakheri na Mungu akulinde na kukubariki ili uweze kuiongoza vema nchi yetu, na pia naomba Mungu akuongoze Ili usisahau OMBI LANGU.
Astrid.
Mbona kama Lucas Mwashamba!?? vile!!!MH. MWENYEKITI WA CCM TAIFA,

Lucas mwashambwa kaona isiwe tabu, teuzi zinampita kama garimoshi akaona wacha aombe ukatibuUmesahau kuandika jina kamili na namba yako ya simu
Mimi sipo hapa kutafuta teuziLucas mwashambwa kaona isiwe tabu, teuzi zinampita kama garimoshi akaona wacha aombe ukatibu
Jina lako liko wapi hapo chini?
15 January 2022
Taarifa toka makao makuu ya CCM Dodoma pia kutoka Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba na Afisi ya CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar .
Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao :
- Andrew Chenge : mwanasheria mkuu wa serikali wa zamani
- Sophia Mathayo Simba : Waziri wa zamani wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Utawala Bora), ni Mwenyekiti wa zamani Umoja wa Wanawake Tanzania UWT
- Dr. Mussa Shafii Ngonyani
- Wakili Faraji Rushagama
- Rahmaddin Rashid Ismaili - mwanafunzi UDSM
- Hamisi Rajabu
- Festo John Kipate
- George Francis Nangale : Mbunge wa zamani Bunge la EALA
- Barua Abdi Mwakilanga : mwanadiplomasia toka Buguruni DSM.
- Zahoro Rashid Hanuna : Afisa Biashara Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
- Thomas David Kirimbunyo
- Angelina Bello John
- Eng. Abdulaziz Jahad Hussein
- Dr. Tulia Ackson : Naibu spika chini ya Job Ndugai
- Dr. Thomas Kashililah : katibu wa bunge wa zamani
- Stephen Masele : naibu spika wa zamani Bunge la Afrika
- Mussa Azzan Zungu : meya wa zamani wa Ilala Dsm.
- Joseph Musukuma :
- Ezekiel Maige : waziri wa zamani
- Asia Juma Abdallah : mkuu wa wilaya wa zamani
- Dr. Titus M. Kamani : waziri wa zamani
- Tumsifu Mwasamale : Afisa Maendeleo ya vijana mkoa wa Dodoma
- Prof. Handley Mpoki Mafwenga : mtumishi wa serikali / umma
- Goodluck Mlinga : mbunge wa zamani wa CCM
- Prof. Norman Adamson Sigala : mwanasiasa toka jimbo la Makete, msomi mhadhiri
- Hatibu Madata Mjega :
- Dr. Linda Salekwa Ole Saitabau : mhadhiri chuo Kikuu cha Teknolojia Mbeya na mtafiti wa magonjwa yanayoambukiza na chanjo
- Emmanuel Simon Sindama
- Bi. Uwesu Msumi
- Hilal H. Seif
- Wakili Emmanuel Paul Mngare
- Athumani Mfutakamba
- Wakili Nduruma Majembe
- Mwemba Burton Mwemba : marketing expert and media presenter / msanii Mwijaku
- Henry Erasto Kessy
- Josephat Malima
- Adam Nyanyavanu
- Eng. Stella Manyanya: mkuu wa mkoa wa zamani
- Andrew Kevella
- Luhanga Mpina
- Hussein Migoda Mattaka
- Dr. Godwin Maimu : expert in CAPACITY BUILDING AND MICROFINANCE SERVICES
- Mohammed Ali Mmanga : mgombea ubunge wa zamani
- Esther Stefano Makazi : Kada wa CCM
- Comrade Amos Sollo : Mwanafunzi Chuo Cha Elimu ya Juu
- Godwin Kunambi - mkurugenzi wa zamani wa jiji la Dodoma
- Goodluck ole Medeye
- Juma Hamza Chumu
- Baraka Omary Byabato
- Hamidu Chamani : kada wa chama, Mtaalam mbobezi wa masuala ya kodi
- Fikiri Saidi : mkuu wa wilaya wa zamani
- Bi. Dotto Balele Mgasa
- Wakili Onyango Otieno
- Eng. Samuel Hayuma
- Merkion Ndofi
- Abwene Majula
- Patrick Nkandi
- Dr. Edison Wazoel Lubua : Doctor of Philosophy (PhD)Information Systems & Technology
- Alex Msama
- Samwel Magero : mjumbe wa Kamati kuu Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA),
- Peter Mjemu : mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Chato mwaka 2020
- ..
Toka Kumbukumbu mwaka 2015 :
waliogombea nafasi ya uspika toka vyama mbalimbali walikuwa wanane (8) tu
WALIOPITISHWA NA VYAMA VYA SIASA KUGOMBEA NAFASI YA USPIKA 2015
Jumla ya wagombea nane (8) wamejitokeza kugombea kiti cha Spika wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma, Katibu wa Bunge, Dkt Thomas Kashilillah amesema, “nimepokea majina nane kutoka vyama nane vya siasa watakaogombea nafasi ya Spika wa Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano .”
Amewataja waliojitokeza kuwania nafasi hiyo kuwa ni, Mhe. Peter Leonard Sarungi kutoka chama cha Alliance for Tanzania Party (AFP), Mhe. Hassan Kisabya Almas kutoka Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Mhe. Dkt. Godfrey Rafael Malisa kutoka Chama cha Kijamii (CCK), na Mhe. Job Yustino Ndugai (Mb) kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM).
Wengine ni Mhe. Goodluck Joseph Ole Medeye kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Richard Shedrack Lyimo kutoka Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Hashim Spunda Rungwe kutoka CHAUMMA na Mhe. Robert Alexander Kasinini, Chama cha Democratic Party (DP).
Kwa mujibu wa Dkt Kashilillah, uchaguzi wa Spika utafanyika kesho tarehe 17 Novemba, 2015 kuanzia saa tatu asubuhi katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mbali na kutaja majina ya wagombea wa Spika wa Bunge, Dkt Kashilillah amesema mpaka tarehe 16/11/2015 jumla ya wabunge 348 wamekwisha sajiliwa.
Aidha Dkt Kashilillah amesema kuwa maandalizi yote kwa ajili ya mkutano wa 11 wa bunge yamekamilika.
Katika mkutano huo wa kwanza wa bunge la 11, kutakuwa na shughuli mbalimbali zikiwemo kumchagua Spika, Naibu Spika na kuthibitisha jina la Waziri Mkuu
Source : Parliament
😄😄😄😄 Mimi sijawahi kugombea uspika wala kwenda huko sijuwi uholanzi sijuwi ScandinaviaMbona kama Lucas Mwashamba!?? vile!!!
Sasa mkuu chadema tena imeingiaje hapoLabda Katibu mkuu wa Choo chako
Mwandiko tu unaonekana mbumbumbu na Chadema Type
Ni mbumbumbuSasa mkuu chadema tena imeingiaje hapo
Ni yeye ana account 2, namjua huyu dada angu ni tatizo haswaMbona kama Lucas Mwashamba!?? vile!!!
Tatizo la UWT wanajua kila mtu ni CHADEMASasa mkuu chadema tena imeingiaje hapo
UWT mnaugomvi gani na CHADEMA?Labda Katibu mkuu wa Choo chako
Mwandiko tu unaonekana mbumbumbu na Chadema Type
Mbumbumbu nyie,UWT mnaugomvi gani na CHADEMA?
Hahahaha hakuna kitu kama hicho dada anguMbumbumbu nyie,
Chadema ni mbumbumbu na malofa.
Gm
Vp Hamas Bado wamekushikilia mpini wavaa pampas nyie
Endeleeni kuvaa pampasHahahaha hakuna kitu kama hicho dada angu
Hakuna shida sister ndiyo siasa zenyeweEndeleeni kuvaa pampas
Ila Chadema ni Mbumbumbu