Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu afurahishwa na maandalizi ya mkutano mkuu wa 10 utakaoanza kesho Desemba 7

Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu afurahishwa na maandalizi ya mkutano mkuu wa 10 utakaoanza kesho Desemba 7

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
IMG-20221206-WA0090.jpg
IMG-20221206-WA0091.jpg
IMG-20221206-WA0092.jpg
IMG-20221206-WA0093.jpg
IMG-20221206-WA0094.jpg
IMG-20221206-WA0089.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
 
Pangekuwa na umeme, mfumuko mdogo wa bei naamini wala usingewaza haya
Sahihi kabisa! Mfano kuna utawala bora, hakuna tozo za kipuuzi, hakuna upendeleo katika ajira, na pia katika kugawana keki ya Taifa, raslimali zinatumika kwa manufaa ya wananchi wote, badala ya wachache, kuna demokrasia ya kweli, nk.

Nani angehangaika kupiga moto hizo nguo!!
 
Hayo manguo natamani kuja kuyapiga kibiriti! Ni basi tu niko mbali na hilo eneo la tukio.
CCM Ni Kama maji Usipoyanywa utayaoga tuu. CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo. CCM ndio yenye uchungu na maisha ya watanzania
 
Chadema akili zao wanazijuwa wenyewe maana asilimia kubwa pinga pinga kila kitu kizuri Ni chadema chini ya Mwenyekiti wake wa Saccos mtu huru
Bora hao akili zao wanazijua wenyewe lakini nyie hasa wewe hamna akili kabisa mumeachiwa kiduuuchu tu za kusifia watawala, kuvukia barabara na kwendea chooni tu.
 
Kazi yenu Ni kutukana tu utafikiri mmekatika mishipa ya fahamu
Wewe unapotoa lugha ya kashfa kwetu usitegemee kuwa tutakuchekea, wewe angalia lugha uliyotumia inafaa? Hiyo njaa yako ya kutaka kuteuliwa usione kama umeshakuwa juu ya sheria wewe ni kidampa tu na tunakuona takataka tu
 
CCM Ni Kama maji Usipoyanywa utayaoga tuu. CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo. CCM ndio yenye uchungu na maisha ya watanzania
wezi wa kura nyie hamna lolote. (rejea uchaguzi wa 2020) Kinondoni ofisi ya CCM kura zilipigwa siku mbili kabla. waliopiga waliahidiwa 5000/= hawajalipwa mapka leo
 
View attachment 2437647View attachment 2437648View attachment 2437649View attachment 2437650View attachment 2437651View attachment 2437652
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Hapo ndipo Mheshimiwa atakapo tambua senemu ya bakaa itokanayo na fedha za lile daraja la Kibiti la TZS 7.2Bn na pamoja yale mabehewa ya mtumba yenye thamani ya $59Mn zilivyotumika kuandaa mkutano mkuu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama kinasukwa, mkitoka hapo Kila mtu aingie saiti kusaka wanachama na wapenzi wa chama

Tanzania na CCM ni mpaka mwaka 2200
 
Back
Top Bottom