shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Mi kinachoshangaza kila mtu kabla hajateuliwa/shinda uchaguzi wanakuwa na akili za kizalendo ila e bwana mtu akishachaguliwa ni balaa.Sahihi kabisa! Mfano kuna utawala bora, hakuna tozo za kipuuzi, hakuna upendeleo katika ajira, na pia katika kugawana keki ya Taifa, raslimali zinatumika kwa manufaa ya wananchi wote, badala ya wachache, kuna demokrasia ya kweli, nk.
Nani angehangaika kupiga moto hizo nguo!!