Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Utafungwa tukusahauHayo manguo natamani kuja kuyapiga kibiriti! Ni basi tu niko mbali na hilo eneo la tukio.
Hata wakina Mandela walishawahi kufungwa kwa sababu ya kupigania tu kile walichokiamini.Utafungwa tukusahau
Pangekuwa na umeme, mfumuko mdogo wa bei naamini wala usingewaza hayaHayo manguo natamani kuja kuyapiga kibiriti! Ni basi tu niko mbali na hilo eneo la tukio.
Sahihi kabisa! Mfano kuna utawala bora, hakuna tozo za kipuuzi, hakuna upendeleo katika ajira, na pia katika kugawana keki ya Taifa, raslimali zinatumika kwa manufaa ya wananchi wote, badala ya wachache, kuna demokrasia ya kweli, nk.Pangekuwa na umeme, mfumuko mdogo wa bei naamini wala usingewaza haya
CCM Ni Kama maji Usipoyanywa utayaoga tuu. CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo. CCM ndio yenye uchungu na maisha ya watanzaniaHayo manguo natamani kuja kuyapiga kibiriti! Ni basi tu niko mbali na hilo eneo la tukio.
Nasikia Peter anawaacha BAVICHAViva Samia Viva
Viva CCM Viva
Viva Wajumbe Viva
Wale ni Political entrepreneursChadema akili zao wanazijuwa wenyewe maana asilimia kubwa pinga pinga kila kitu kizuri Ni chadema chini ya Mwenyekiti wake wa Saccos mtu huru
CCM inogile mwana waneView attachment 2437647View attachment 2437648View attachment 2437649View attachment 2437650View attachment 2437651View attachment 2437652
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Bora hao akili zao wanazijua wenyewe lakini nyie hasa wewe hamna akili kabisa mumeachiwa kiduuuchu tu za kusifia watawala, kuvukia barabara na kwendea chooni tu.Chadema akili zao wanazijuwa wenyewe maana asilimia kubwa pinga pinga kila kitu kizuri Ni chadema chini ya Mwenyekiti wake wa Saccos mtu huru
Kazi yenu Ni kutukana tu utafikiri mmekatika mishipa ya fahamuBora hao akili zao wanazijua wenyewe lakini nyie hasa wewe hamna akili kabisa mumeachiwa kiduuuchu tu za kusifia watawala, kuvukia barabara na kwendea chooni tu.
Wewe unapotoa lugha ya kashfa kwetu usitegemee kuwa tutakuchekea, wewe angalia lugha uliyotumia inafaa? Hiyo njaa yako ya kutaka kuteuliwa usione kama umeshakuwa juu ya sheria wewe ni kidampa tu na tunakuona takataka tuKazi yenu Ni kutukana tu utafikiri mmekatika mishipa ya fahamu
Wewe wasema 🤗Chadema akili zao wanazijuwa wenyewe maana asilimia kubwa pinga pinga kila kitu kizuri Ni chadema chini ya Mwenyekiti wake wa Saccos mtu huru
Hayo matambara yanafaa kupigia dekiView attachment 2437647View attachment 2437648View attachment 2437649View attachment 2437650View attachment 2437651View attachment 2437652
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Kazi nzuri Sana SekretarietiView attachment 2437647View attachment 2437648View attachment 2437649View attachment 2437650View attachment 2437651View attachment 2437652
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
wezi wa kura nyie hamna lolote. (rejea uchaguzi wa 2020) Kinondoni ofisi ya CCM kura zilipigwa siku mbili kabla. waliopiga waliahidiwa 5000/= hawajalipwa mapka leoCCM Ni Kama maji Usipoyanywa utayaoga tuu. CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo. CCM ndio yenye uchungu na maisha ya watanzania
Hapo ndipo Mheshimiwa atakapo tambua senemu ya bakaa itokanayo na fedha za lile daraja la Kibiti la TZS 7.2Bn na pamoja yale mabehewa ya mtumba yenye thamani ya $59Mn zilivyotumika kuandaa mkutano mkuu huu.View attachment 2437647View attachment 2437648View attachment 2437649View attachment 2437650View attachment 2437651View attachment 2437652