Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu afurahishwa na maandalizi ya mkutano mkuu wa 10 utakaoanza kesho Desemba 7

Mi kinachoshangaza kila mtu kabla hajateuliwa/shinda uchaguzi wanakuwa na akili za kizalendo ila e bwana mtu akishachaguliwa ni balaa.
 
kwa hiyo dodoma hapafai kwenda siku hizi mbili tatu
 
wezi wa kura nyie hamna lolote. (rejea uchaguzi wa 2020) Kinondoni ofisi ya CCM kura zilipigwa siku mbili kabla. waliopiga waliahidiwa 5000/= hawajalipwa mapka leo
CHADEMA mnanpngwa sana
 
TNP ni Chama cha Nani?
Ni Chama kipya, na kijacho cha Watanzania, na Wazalendo wa kweli wa nchi yao.

Chama hicho kitawaunganisha Watanzania Wazalendo wote kwa ajili ya kuikomboa nchi Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii, na katika nyanja za sayansi na teknolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…