[emoji23][emoji23][emoji23] halafu pesa zilivyo za kijanga sasa, unaweza ukute ana over Billion ila zikakatika hv hv asiamin macho yake, ndipo atajua Tz na penyewe kuna hewa safi kabisa, pesa hua kubwa tu pale ambapo mtu hajaishika [emoji23][emoji23]