Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM umenikosha kwa kumwengua Juma Nkamia wa Jimbo la Chemba, Dodoma

Ndugai Ni mmoja wa speaker wa hovyo kuwahi kutokea kwenye bunge la jamhuri
Ni vema Ndugai akauona upepo huu unavyovuma.
Akishupaza shingo, itakatika na wananchi hatuna ingine , shingo ikikatika tunashangilia tu, kama hii shingo ya Nkamia ulivyokula vumbi.
 
Du....... mkuu mwaga madini tu.
Kumbe tunacho kiona ni trela tu.
Horror movie ya huyu aliyekuwa mbunge ni hatari!
Amelaanika....ameuza ule mghorofa wa mamake kwa Bei ya kutupwa...June akawaita ndugu wa Selina akawaeleza anahisi amepata laana...akaambiwa anunue mbuzi wakafanye tambiko kwa kaburi la maza...unaamhiwa alikua analia balaa..pyee
 
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.

Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na kwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa kubadili katiba.
Mapendekezo yake ati muda wa Urais uwe miaka 7 badala ya mitano iliyopo.

Rais Magufuli is on record kusema akimaliza muda wake wa Urais hataongeza hata siku moja, na ataondoka kumpisha mwingine ajaye.

Sasa hizi ngebe za Juma Nkamia sijui alikuwa anafikiria nini, wengine wakisema ati katumwa kupima upepo.

Jibu tumeliona.
Juma Nkamia ni pumba za kisiasa, hakuna aliyemtuma na sasa arudi kwenye kazi yake ya zamani, akatangaze vikao vya kijiji chake.

Kujikomba nako ujinga.
ninyi hamjazing'amua mbinu za mwenyekiti wetu nini?

mwenyekiti wetu anapenda sana watu wanaojipendekeza kwake, akiwemo huyu "Nkahandredi" ambaye ajenda yake ni burudani masikioni mwa mwenyekit wetu.

mwenyekiti wetu akifanikiwa kushinda urais October (ingawa ni 50/50), lazima atamteua huyu jamaa kuwa mbunge ili aliendeleze libeneke la #jpmbeyond2025 na si ajabu akampa portfolio ya yule madigrii 4 Mwakiwembe.
 
Time will tell!!
 
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.

Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na kwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa kubadili katiba.
Mapendekezo yake ati muda wa Urais uwe miaka 7 badala ya mitano iliyopo.

Rais Magufuli is on record kusema akimaliza muda wake wa Urais hataongeza hata siku moja, na ataondoka kumpisha mwingine ajaye.

Sasa hizi ngebe za Juma Nkamia sijui alikuwa anafikiria nini, wengine wakisema ati katumwa kupima upepo.

Jibu tumeliona.
Juma Nkamia ni pumba za kisiasa, hakuna aliyemtuma na sasa arudi kwenye kazi yake ya zamani, akatangaze vikao vya kijiji chake.

Kujikomba nako ujinga.
Unazoita ngebe ni jitihada za Juma Nkamia ambazo kama zingezaa matunda kabla ya Uchaguzi angekuwa amefanikiwa kutekeleza agizo toka juu na asingeenguliwa na Uwaziri angepata kama wote wawili watashinda Uchaguzi. Kitu ambacho Nkamia hakujua na ambacho kimemgharimu ni kuwa mtalaam wa kutumbua na kutengua tu bali ana mamlaka ya kuengua pia watia nia ya kupendekezwa kugombea nafasi yoyote kupitia Chama anachokiongoza. Ajaribu kurudi TBC, Bunge asahau!
 
Huenda akaibukia kwenye vyeo vya uteuzi kama DED, DAS, RAS, DC au RC.
CCm walishatuona mafaka hivi vyeo vya kitaaluma kwanin wasipewe watu kwa utaratibu maalam wao wanapeana tu mambo ya kivyama inamaana mtu kama hana chama atomatically sifa hana? i hate it
 
Amelaanika....ameuza ule mghorofa wa mamake kwa Bei ya kutupwa...June akawaita ndugu wa Selina akawaeleza anahisi amepata laana...akaambiwa anunue mbuzi wakafanye tambiko kwa kaburi la maza...unaamhiwa alikua analia balaa..pyee
Milinga ninayemfahamu ni Yule aliyekua anashinda migombani street maeneo ya Victoria pale,

Ndio amekuwa hivi.??
 
Chenge alikuwa anajiona ye ndio kila kitu bungeni ingawa hakuwa speaker but he had some influences on Ndugai.
Chenge alikuwa anaonyesha uwezo mkubwa aliyonao kutokana na kisomo chake na uzoefu wa muda mrefu Serikalini katika nyadhifa mbalimbali lakini mimi nimechukia sana kupitishwa Ndugai bila hata kutishiwa na rungu. Ndugai atawatwanga rungu wagombea wa upinzani Jimboni kwake.
 
Back
Top Bottom