Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM umenikosha kwa kumwengua Juma Nkamia wa Jimbo la Chemba, Dodoma

Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.

Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na mwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa kubadili katiba. Mapendekezo yake ati muda wa Urais uwe miaka 7 badala ya mitano iliyopo.

Rais Magufuli is on record kusema akimaliza muda wake wa Urais hataongeza hata siku moja, na ataondoka kumpisha mwingine ajaye.

Sasa hizi ngebe za Juma Nkamia sijui alikuwa anafikiria nini, wengine wakisema ati katumwa kupima upepo.

Jibu tumeliona. Juma Nkamia ni pumba za kisiasa, hakuna aliyemtuma na sasa arudi kwenye kazi yake ya zamani, akatangaze vikao vya kijiji chake.

Kujikomba nako ujinga.
Yaani jana nimejikuta na kunywa bia safari kwa furaha ya kutemwa kwa Nkamia na Lugola..
 
Naomba sana wabunge mjifunze kuwa muache kutetea vyama bungeni hamkutumwa navyama mnavyo tokea tusaidieni wananchi ndiotulio watuma mfano wavuvi tulinyanganywa generator leo waziri anaruhusu generetor machine zetumpaka leo zipo ikola katavi kionezi tu kateteeni wananchi muachekuvitetea vyama vyenu kwani ukifukuzwa chama hiki unaenda chama kila ilimradi unafanyakazi yawananchi kwelikweli
 
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.

Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na mwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa kubadili katiba. Mapendekezo yake ati muda wa Urais uwe miaka 7 badala ya mitano iliyopo.

Rais Magufuli is on record kusema akimaliza muda wake wa Urais hataongeza hata siku moja, na ataondoka kumpisha mwingine ajaye.

Sasa hizi ngebe za Juma Nkamia sijui alikuwa anafikiria nini, wengine wakisema ati katumwa kupima upepo.

Jibu tumeliona. Juma Nkamia ni pumba za kisiasa, hakuna aliyemtuma na sasa arudi kwenye kazi yake ya zamani, akatangaze vikao vya kijiji chake.

Kujikomba nako ujinga.
Mawe akiondoka ikulu leo kwa mfano....aiseee

Nitafurahi sana....

And then,huyo atakaekua rais sasa,funga wooooooooote kesho yake asubuhi

Kinga sijui ya rais ni outta window,kinga ya waziri mkuu ni outta window....wote immunity ni outta window....tupa gerezani waozee humo!
 
Yaani jana nimejikuta na kunywa bia safari kwa furaha ya kutemwa kwa Nkamia na Lugola..
Leo ni siku chungu sana kwa baadhi ya watu. Kuna wengine wamejifungia tu majumbani, supu haipandi wala maji hayapenyi kooni....wapo vitandani mpaka muda huu😂😂
 
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.

Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na mwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa kubadili katiba. Mapendekezo yake ati muda wa Urais uwe miaka 7 badala ya mitano iliyopo.

Rais Magufuli is on record kusema akimaliza muda wake wa Urais hataongeza hata siku moja, na ataondoka kumpisha mwingine ajaye.

Sasa hizi ngebe za Juma Nkamia sijui alikuwa anafikiria nini, wengine wakisema ati katumwa kupima upepo.

Jibu tumeliona. Juma Nkamia ni pumba za kisiasa, hakuna aliyemtuma na sasa arudi kwenye kazi yake ya zamani, akatangaze vikao vya kijiji chake.

Kujikomba nako ujinga.
Yupo Ally Kesi wa Nkasi alishaambiwa hoja yake aiweke akiba
 
Nkamia alikataliwa na Wajumbe na Kamati Kuu imetenda haki kwa kuwasikiliza. Kama wangemrudisha kwa nguvu, lile jimbo wangelipoteza mapema asubuhi. Ni sawa na Kinondoni. Makonda asingeuzika maana ana makandokando mengi.
 
Mbona Jessy wa kule Nkasi alishadadia na amebaki?
 
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.

Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na mwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa kubadili katiba. Mapendekezo yake ati muda wa Urais uwe miaka 7 badala ya mitano iliyopo.

Rais Magufuli is on record kusema akimaliza muda wake wa Urais hataongeza hata siku moja, na ataondoka kumpisha mwingine ajaye.

Sasa hizi ngebe za Juma Nkamia sijui alikuwa anafikiria nini, wengine wakisema ati katumwa kupima upepo.

Jibu tumeliona. Juma Nkamia ni pumba za kisiasa, hakuna aliyemtuma na sasa arudi kwenye kazi yake ya zamani, akatangaze vikao vya kijiji chake.

Kujikomba nako ujinga.
Akajipendekeze kwa wake zake
 
Huenda akaibukia kwenye vyeo vya uteuzi kama DED, DAS, RAS, DC au RC.
Kwenye u DED, DAS na RAS magufuli amejifunza kuwa hizo ni nafasi za kiutumishi sio za kisiasa, hatorudia makosa. Wajipange kugombea u DC na RC.
 
Huyu aliyepitiliza kuabudu hadi kumfananisha na Yesu kaishia kupigwa teke la Mdomo, 🤣🤣😂😂😂 jitu zima linalamba miguu limeishia kuaibishwa..
 
Attachments

  • Screenshot_20200821-133226.png
    Screenshot_20200821-133226.png
    63.1 KB · Views: 3
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.

Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na mwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa kubadili katiba. Mapendekezo yake ati muda wa Urais uwe miaka 7 badala ya mitano iliyopo.

Rais Magufuli is on record kusema akimaliza muda wake wa Urais hataongeza hata siku moja, na ataondoka kumpisha mwingine ajaye.

Sasa hizi ngebe za Juma Nkamia sijui alikuwa anafikiria nini, wengine wakisema ati katumwa kupima upepo.

Jibu tumeliona. Juma Nkamia ni pumba za kisiasa, hakuna aliyemtuma na sasa arudi kwenye kazi yake ya zamani, akatangaze vikao vya kijiji chake.

Kujikomba nako ujinga.
Kauli yake alidhani itamuongezea credit lakini ilimchafua Rais. Kiasi ambacho watu na vigogo wa ccm walidhani Jpm ndiye aliyemtuma. Pia kimataifa ilimfanya Jpm aonekane ni mroho wa madaraka wazi wazi.

Imekula kwake. Akalime zabibu sasa.
 
Pamoja na kupata Million 250 bado atarudi pale kutangaza mpira? Sidhani...na kama akirudi itakuwa kituko.
Mbona hela ndogo sana hiyo mkuu, kumbuka pia hao watu wana madeni sana, unaweza kuta 200 yote kalipa madeni
 
Chenge unamuonea mkuu, mzee hana noma na mtu! Hivi ushawahi kumsikia hata siku moja anaongea upupu bungeni au popote pale? Hata alipokuwa akisimama kama mwenyekiti alikuwa anaongoza bunge vizuri sana
 
Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma.

Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na mwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa kubadili katiba. Mapendekezo yake ati muda wa Urais uwe miaka 7 badala ya mitano iliyopo.

Rais Magufuli is on record kusema akimaliza muda wake wa Urais hataongeza hata siku moja, na ataondoka kumpisha mwingine ajaye.

Sasa hizi ngebe za Juma Nkamia sijui alikuwa anafikiria nini, wengine wakisema ati katumwa kupima upepo.

Jibu tumeliona. Juma Nkamia ni pumba za kisiasa, hakuna aliyemtuma na sasa arudi kwenye kazi yake ya zamani, akatangaze vikao vya kijiji chake.

Kujikomba nako ujinga.
Juma Nkamia ni aina ya mtu mwenye kihere here sana ni mjuaji mno ana vitabia vya hovyo hovyo sana nadhani CCM wamepitia file lake lote wakaona ni kajitu Hatari kasiko na busara
 
Ni mapema sana, awamu hii ni kutoa nafuu na kuweka afadhali, anaweza kuteuliwa nafasi ya kimkakati! Mrisho gambo si unamuona anapoelekea? ...potential cabinet member...
 
Back
Top Bottom