Pre GE2025 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime azomewa na Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime.

Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM.
Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa.

Soma Pia: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hizi sio dalili nzuri kwa Chama Tawala kutoka kwenye eneo analotoka Makamu Mwenyekiti TAIFA.
Source: X

Your browser is not able to display this video.
 
Mbona wamezomea kistaarabu sana
 
Nawaona makamanda wa Chadema mwisho wa video wanacheka๐Ÿ˜„ ccm ngese kweli. Watu wapo wanaomboleza yeye analeta siasa tena kwa watu wenyewe wamechoka kimaisha๐Ÿคฃ
 
Muda si mrefu kijani itaanzia kuvaliwa kwa kificho kama ilivyokuwa *awali"
 
Aione Babu Wasira.

Hao ndio aliowaita "mercenaries" ๐ŸŒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ila mwaka huu na kutapakaa kwa video za Akili bandia aka AI itakuwa mbinde sana ku authenticate hizi video.

Ngoja tuone.
 
Ujumbe mzuri lakini si katika eneo sahihi
 
Mkutano wa nini huo
 
Wangemrushia hata chupa za maji au japo majiwe mawili matatu hadi ateremke jukwaani
 
Wangemrushia hata chupa za maji au japo majiwe mawili matatu hadi ateremke jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ