Kwenye msiba analeta mambo ya siasa!Huyu ni MwenyeKiti wa Wilaya ya Tarime.
Anaitwa Marwa Ngicho, hapa alikuwa msibani anawaambia Wananchi wana maisha mazuri kupitia CCM.
Wananchi walimzoea msibani bila kuogopa.
Soma Pia: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hizi sio dalili nzuri kwa Chama Tawala kutoka kwenye eneo analotoka Makamu Mwenyekiti TAIFA.
Source: X