PreGE2025 Mwenyekiti wa Chadema Arumeru atimkia CCM, asifu miradi ya maendeleo chini ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.

Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Ayoub amesema uamuzi wake wa kutimkia Chama Cha Mapinduzi umetokana na kuridhishwa na utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo unaotekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, sambamba na sera na uongozi wake mzuri katika kuwatumikia wananchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ameeleza pia kutoridhishwa na mwenendo wa siasa ndani ya Chadema, akijizuia kuzungumza lolote kuhusu misimamo ya Chadema kuelekea uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu pamoja na kampeni ya No Reforms, No Election.

Viongozi na wanachama wa CCM walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa hatua hiyo ni muendelezo wa dhihirisho na ushahidi wa kuongezeka kwa mvuto wa Chama Cha Mapinduzi miongoni mwa Viongozi wa Upinzani, wakiwakaribisha wengine wengi waliominywa na kunyimwa fursa za kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi Mkuu kuweza kujiunga na CCM.

IMG_4740.jpeg
 
Wimbo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.

Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Ayoub amesema uamuzi wake wa kutimkia Chama Cha Mapinduzi umetokana na kuridhishwa na utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo unaotekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, sambamba na sera na uongozi wake mzuri katika kuwatumikia wananchi.

Ameeleza pia kutoridhishwa na mwenendo wa siasa ndani ya Chadema, akijizuia kuzungumza lolote kuhusu misimamo ya Chadema kuelekea uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu pamoja na kampeni ya No Reforms, No Election.

Viongozi na wanachama wa CCM walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa hatua hiyo ni muendelezo wa dhihirisho na ushahidi wa kuongezeka kwa mvuto wa Chama Cha Mapinduzi miongoni mwa Viongozi wa Upinzani, wakiwakaribisha wengine wengi waliominywa na kunyimwa fursa za kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi Mkuu kuweza kujiunga na CCM.
View attachment 3326200
Wakati boss wao anakata mbuga
 
Njaa njaa njaa ni mbaya sana ,kama vipi kila mmoja atimkie huko ccm kikaumane humo humo ndani.
 
Nampongeza sana kwa uamuzi sahihi alioufanya. Kata ya Kiranyi, Arumeru ni kata iliyopakana na jiji la Arusha. Sehemu ya mtaa wa Sakina ipo Kiranyi. Kimsingi huyu jomba ni wa town anajua upuuzi wote wa kina Lema na genge lake.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.

Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Ayoub amesema uamuzi wake wa kutimkia Chama Cha Mapinduzi umetokana na kuridhishwa na utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo unaotekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, sambamba na sera na uongozi wake mzuri katika kuwatumikia wananchi.

Ameeleza pia kutoridhishwa na mwenendo wa siasa ndani ya Chadema, akijizuia kuzungumza lolote kuhusu misimamo ya Chadema kuelekea uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu pamoja na kampeni ya No Reforms, No Election.

Viongozi na wanachama wa CCM walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa hatua hiyo ni muendelezo wa dhihirisho na ushahidi wa kuongezeka kwa mvuto wa Chama Cha Mapinduzi miongoni mwa Viongozi wa Upinzani, wakiwakaribisha wengine wengi waliominywa na kunyimwa fursa za kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi Mkuu kuweza kujiunga na CCM.
View attachment 3326200
Karibu tuile nchi
 
Aondoke na mkwe kabisa asije akasingizia CDM wamempa ujauzito.
Watu wa CDM ni watu wasafi kimwili na kiroho
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.

Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Ayoub amesema uamuzi wake wa kutimkia Chama Cha Mapinduzi umetokana na kuridhishwa na utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo unaotekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, sambamba na sera na uongozi wake mzuri katika kuwatumikia wananchi.

Ameeleza pia kutoridhishwa na mwenendo wa siasa ndani ya Chadema, akijizuia kuzungumza lolote kuhusu misimamo ya Chadema kuelekea uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu pamoja na kampeni ya No Reforms, No Election.

Viongozi na wanachama wa CCM walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa hatua hiyo ni muendelezo wa dhihirisho na ushahidi wa kuongezeka kwa mvuto wa Chama Cha Mapinduzi miongoni mwa Viongozi wa Upinzani, wakiwakaribisha wengine wengi waliominywa na kunyimwa fursa za kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi Mkuu kuweza kujiunga na CCM.
View attachment 3326200
Mama Samia ni Ngoma nyingine kabisa....... nyumbu hawaamini macho yao!
 
Mbona ana sura ya Sabaya?
Ujuenini, watu kama hawa huwa wamepangwa!
 
Back
Top Bottom