Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakati boss wao anakata mbugaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.
Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Ayoub amesema uamuzi wake wa kutimkia Chama Cha Mapinduzi umetokana na kuridhishwa na utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo unaotekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, sambamba na sera na uongozi wake mzuri katika kuwatumikia wananchi.
Ameeleza pia kutoridhishwa na mwenendo wa siasa ndani ya Chadema, akijizuia kuzungumza lolote kuhusu misimamo ya Chadema kuelekea uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu pamoja na kampeni ya No Reforms, No Election.
Viongozi na wanachama wa CCM walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa hatua hiyo ni muendelezo wa dhihirisho na ushahidi wa kuongezeka kwa mvuto wa Chama Cha Mapinduzi miongoni mwa Viongozi wa Upinzani, wakiwakaribisha wengine wengi waliominywa na kunyimwa fursa za kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi Mkuu kuweza kujiunga na CCM.
View attachment 3326200
Karibu tuile nchiMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.
Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Ayoub amesema uamuzi wake wa kutimkia Chama Cha Mapinduzi umetokana na kuridhishwa na utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo unaotekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, sambamba na sera na uongozi wake mzuri katika kuwatumikia wananchi.
Ameeleza pia kutoridhishwa na mwenendo wa siasa ndani ya Chadema, akijizuia kuzungumza lolote kuhusu misimamo ya Chadema kuelekea uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu pamoja na kampeni ya No Reforms, No Election.
Viongozi na wanachama wa CCM walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa hatua hiyo ni muendelezo wa dhihirisho na ushahidi wa kuongezeka kwa mvuto wa Chama Cha Mapinduzi miongoni mwa Viongozi wa Upinzani, wakiwakaribisha wengine wengi waliominywa na kunyimwa fursa za kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi Mkuu kuweza kujiunga na CCM.
View attachment 3326200
Mama Samia ni Ngoma nyingine kabisa....... nyumbu hawaamini macho yao!Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.
Mbele ya wananchi na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi, Ayoub amesema uamuzi wake wa kutimkia Chama Cha Mapinduzi umetokana na kuridhishwa na utekelezaji mkubwa wa miradi mbalimbali ya maendeleo unaotekelezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, sambamba na sera na uongozi wake mzuri katika kuwatumikia wananchi.
Ameeleza pia kutoridhishwa na mwenendo wa siasa ndani ya Chadema, akijizuia kuzungumza lolote kuhusu misimamo ya Chadema kuelekea uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu pamoja na kampeni ya No Reforms, No Election.
Viongozi na wanachama wa CCM walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa hatua hiyo ni muendelezo wa dhihirisho na ushahidi wa kuongezeka kwa mvuto wa Chama Cha Mapinduzi miongoni mwa Viongozi wa Upinzani, wakiwakaribisha wengine wengi waliominywa na kunyimwa fursa za kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi Mkuu kuweza kujiunga na CCM.
View attachment 3326200
Mbona ana sura ya Sabaya?Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Bw. Ayoub Axaud ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano uliofanyika kwenye Kata ya Kiranyi Jijini Arusha.