Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.

Pia, Soma:
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
 
View attachment 3180185

Kwa maneno mengine Tumemzoea Samia hatumtaki mwingine? Upinzani huu, sasa vi vichekesho!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185

Pia, Soma:
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Hivyo Mtu Anayotoka Kanda Ya Kaskazini Kweli Atampinga Mbowe! Ata Akifa Wapo Tayari Kumweka Lema Ila Sio Lisu
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185

Pia, Soma: Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
Lisu ana wakati mgumu mno kupata wajumbe wa kumuunga mkono mkutano mkuu Taifa wa chadema ili awe mwenyekiti 🐒
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185

Pia, Soma:
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Yeye na nani? Aongelee binafsi kwamba anamhitaji Mbowe aendelee kugombea uwenyekiti
 
Hawa ni aina ya watu ambao Nyerere alisema kila alipotaka kung'atuka kuna watu walimwambia mzee endelea bila wewe nchi itayumba!

Baadae mwalimu aligundua kumbe walikuwa wakitetea matumbo yao maana hawajui kama ajaye atawapa nafasi za uongozi tena!
 
Back
Top Bottom