Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Wakati wenzako wanaomboleza Rais wetu na Mwenyekiti wa Chama chako wewe akili zako ziko kwa Mbowe. Hivi amekufanya nini huyu jamaa?Mwambie miaka 20 ya uenyekiti inamtosha, mwisho 2024. Tutachagua mwenyekiti mwingine, kile ni chama Cha watanzania sio family
Sihami JamiiForums Mimi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Afadhali hakuna neno "kusikitika". Hilo neno lingetumika lingeonyesha unafiki.
"---ila aache kung'ang'ania uenyekiti,----".Mbowe kwenye busara namkubali, huwa hanaga paapara kabisa na mdomo wake una break.
Ila aache kung'ang'ania uenyekiti, miaka 20 wewe tu utafikiri HAKUNA wengine
Kuiombea familia ya Magufuli? Hata familia yake watakuwa wamefurahi.
Miaka 20 kwenye uenyekiti ni mingi Sana.Wakati wenzako wanaomboleza Rais wetu na Mwenyekiti wa Chama chako wewe akili zako ziko kwa Mbowe. Hivi amekufanya nini huyu jamaa?
Amandla...
Mimi nimo ndani ya chama"---ila aache kung'ang'ania uenyekiti,----".
Inawezekana ukawa sawa, kama wewe ni mgeni Tanzania.
Je, inawezekana uwepo wa CHADEMA, kama ilivyo sasa, katika hali ngumu kabisa iliyokikabiri chama katika miaka mitano iliyopita huenda ingekuwa ni tofauti kabisa na iliyopo sasa?
Hili ni swali tu, hata wewe unaweza kujiuliza na kulijibu kivyako!
Mimi nadhani CHADEMA, kama ingebahatika kuendelea kuwepo kama chama, hali yao ingekuwa ni tofauti sana chini ya uongozi wa mtu mwingine mbali ya Mbowe.
Usinielewe vibaya. Sisemi kamwe kwamba hakuna viongozi wengine ndani ya CHADEMA, ambao pengine ni imara zaidi na hata kuwa bora zaidi ya Mbowe; lakini wakati CHADEMA ilipopata dhoruba kali, ilibahatika sana kuwepo na Kiongozi imara kama Mbowe.
Bila shaka, kama dhoruba lile litakuwa limepita, inawezekana sasa hata Mbowe mwenyewe na chama chake wakawazia jambo la kupata uongozi mpya.
Huo utakuwa ni uamzi wa wanachama wao, na sio shurti kutoka nje.
Imeisha hiyo.
As long as hajaua, hajateka, hajatesa, havunji katiba, hapori mali za watu na wala hajawahi kupoteza watu mwache aendeshe chama hata miaka 100.Miaka 20 kwenye uenyekiti ni mingi Sana.
Ila namkubali ana busara Sana na pia Sio mropokaji
Tunapiga balimi tu hapa. Na kesho ni ijumaa wikenda ndio kabisa.wale mliosema mtalewa.mnalewa huko?
Good and evils.Tutakukumbuka kwa mengi Mheshimiwa Rais ππΎππΎππΎππΎ
Basi, unayo nafasi nzuri sana huko huko ndani ya chama kuweka ushawishi; ikiwezekana, hata wewe unafaa kugombea kiti hicho ili wanachama wenzako wakupime dhidi ya Mbowe.Mimi nimo ndani ya chama
Press release haina tarehe!!!!
Kwasababu anazo busara, uenyekiti ni busara na sio mabavu na mikiki au nasema uongo jamani?Mbowe kwenye busara namkubali, huwa hanaga paapara kabisa na mdomo wake una break.
Ila aache kung'ang'ania uenyekiti, miaka 20 wewe tu utafikiri HAKUNA wengine
WozaaaaaWoyooooooooooo ππππππππππππππππππππππππ
Hayakuhusu hayo.Sisi tunamheshimu na tutaendelea kumheshimu.Hapo hatutatoka.Hivyo pita hiviMwambie 2024 kwenye uchaguzi wa chama hiyo nafasi ataiachia atake asitake
Mtasema yote ila mitano tena ndiyo imefikia mwishoMbowe bana. Rambirambi tunawekeana masharti tena
Tulikuwa tunamanisha miezi mitano nyinyi tu hamuelewiMtasema yote ila mitano tena ndiyo imefikia mwisho