Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atuma Salamu za rambirambi kufuatia Msiba mzito wa Rais Magufuli

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atuma Salamu za rambirambi kufuatia Msiba mzito wa Rais Magufuli

Sijui kwa nini, yaani tangu juzi nina amani sana rohoni; Kuhusu mama yetu kuwa Rais yaani roho yangu imefarijika mno - sijui ninyi wenzangu huko mnajisikiaje.

Ninachokiomba tu kwa Mwenyezi Mungu amtie nguvu kubwa na ujasiri mkubwa huyu mama ili hao CCM wasithubutu kumharibu - asimamie msingi ya utawala bora ili vizazi na hata vizazi vijavyo vimkumbuke kama Mwanamke Rais Jembe kuwahi kuliongoza Taifa letu.

Hongnera sana mama yetu !! Ingawa naiona kazi kubwa mno iliyopo mbele yako ya kuliungaisha Taifa letu kwa Upendo, Umoja na Mshikamano kama lilivyoachwa na baba wa Taifa.... haya ma vyama yetu haya yasiwe uwanja wa vita, chuki na umwagaji wa damu - komesha kabisa ndani ya utawala wako.

Salute !!
 
Hata hivyo Kamati ya Mazishi inayoongozwa na Kassim Majaliwa haijawatambua Wapinzani kwenye hotuba yoyote ya msiba iliyosomwa Bara
 
Hata hivyo Kamati ya Mazishi inayoongozwa na Kassim Majaliwa haijawatambua Wapinzani kwenye hotuba yoyote ya msiba iliyosomwa Bara

Kwani pana tatizo wasipotambuliwa? Btw si ndiyo furaha yao kaondoka mmbaya wao,why taking panadol for someone’s headache?
 
Hii inaitwa ng'ata puliza ng'ata saaana puliza

Kulikuwa na mantiki gani ya kuanza kutoa maombi kwa samia suluhu angekausha tu. Samia si rais amwache msiba uishe apumzishe akili ndiyo alianzishe

Huu ni ushamba wa sgr
 
Mbowe amezaliwa kama kiongozi. Yule ropo ropo wa Ubelgiji anaharibu brand ya Chadema
Instagram media - Bt2Krycj3b7.jpg
 
Back
Top Bottom