Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Uongozi ni utasshi, Mtu haamki tu na kujikuta Rais,Mbunge, Diwani, Kwayo baba yako mzazi akiwa kiongozi watoto wake wasitake uongozi kisa ni nini?Mkoa wa kilimanjaro wanagawana baba na mtoto kwa wakati mmoja .CHADEMA WAMEIFANYA MALI YAO MUDA MREFU Sasa wameugeuza kilimanjaro mali yao 2020 hii !!!!
Mtoto wa mwinyi kaja muda mrefu toka baba yake ashike.Hawa wameona Kilimanjaro yao ni wakati wa kugawana muda huu huu wakati wao sio watoto wa machifu au ma mangi wa kilimanjaro wala nini