Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kugombea tena jimbo la Hai

Uongozi ni utasshi, Mtu haamki tu na kujikuta Rais,Mbunge, Diwani, Kwayo baba yako mzazi akiwa kiongozi watoto wake wasitake uongozi kisa ni nini?
 
Kwahiyo ni sahihi ccm kugawa majimbo rambi rambi kwa watoto wa marehemu Kombani, Mgimwa, Kagoda, Sioyi na wengineo?

Kwahiyo ilikuwa sahihi kwa mzee Msekwa na mkewe kuwa bungeni mwingine akiwa speaker na mwingine akiwa waziri?
Mkewe msekwa alikuwa nani?
je wàlioana kabla au baada ya kupata ubunge?
 
Huyu mtoto wa Mbowe ndiye yule aliyedondoka kwenye Club moja jijini Dar sababu ya Faru John au??
Ni yule aliepona Corona licha ya namna mlivyokua mnamuombea afe kwa Corona. Sasa anaingia bungeni mwaka huu kazi mnayo.
 
Danga la Lumumba, katibiwe fistula dada, inatibika
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…