Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana


Kumbe majitu bado matoto namna hii?

Jitu zima lina mvi mpaka matakoni lipo JF linashangilia uonevu usio na maana?

Tuna safari ndefu sana!
 
Hata sisi CCM tulisikia furaha mno kuwa kweli mahakama iko huru na inatenda haki tofauti na wengine wanaosema mahakama haiko huru na haitendi haki .tumelipuka kwa furaha sana hongera sana chadema kwa ushindi mnono .
Hivyo vimahakama vya mahakimu wakaazi endeleeni kuvitumia lakini mwisho wenu umefika rasmi
 
Hata Mandela aliteswa na makaburu lakini leo hii dunia nzima inamthamini kuliko hata hao makaburu walioijenga South Africa.
 
Sasa hivi akiambiwa tarehe ya kesi yake anaweza kwenda siku mbili kabla kwenda kusubiria hapo hapo mahakamani. Najua ameielewa mahakama sasa sio kule wanakopiga kelele ' MONGOZO!!! ' MONGOZO!!! Mwisho wa siku wanatolewa tuu nje mambo yanaishia hapo.
Dawa yake jeuri ni kiburi!
 
Kuna watu ni wapumbavu katika dunia hii sijawahi ona kama unadhani kua maswina ni chamoto basi pole maswina kitu gani bwana ni kawaida mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi akiambiwa tarehe ya kesi yake anaweza kwenda siku mbili kabla kwenda kusubiria hapo hapo mahakamani. Najua ameielewa mahakama sasa sio kule wanakopiga kelele ' MONGOZO!!! ' MONGOZO!!! Mwisho wa siku wanatolewa tuu nje mambo yanaishia hapo.
Maneno ya mkosaji!
 
Una maumivu kwa uamuzi wa mahakama?
 
Libwa kabisa wewe!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua mahakamani kwenye kesi nyingine hukumu ya Mbowe na Esther ilivyo toka: tulisikia furaha za watu mpaka kwenye Chamber za Majaji. #Ruleoflaw
Mimi nilikacha misa ya jana kwa vile kwenye kanisa ninalosali waliingia watu ambao si wa Mungu , siwezi kushiriki ibada moja na mawakala wa shetani wanaojulikana waziwazi
 
Kila mtu alisema humu kuwa basi wamuachie imetosha ila wanataka kujionyesha wamefanya kazi kubwaaa kumbe watu wameamua tu kuwatoa
kabisa unadhani kibano cha kidiplomasia mchezo kuporomoka shilingi mchezzo anavozodolewa na wananchi hajui uongozi mchezo magu kwisheney yaani reduced to zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…