Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Mandela wa ufipa katoka ngoja tusubirie cheche zake, ila hatarudia tena kuidharau mahakama.
 
Dhamana ya jaji iliwataka watoe taarifa kila wiki polisi. Nayo ni uccm au haki?
 
Tunaomba wataalam wa sheria mkazie hii hukumu ili iwe na manufaa kwa wengi mpaka maccm yasiyojielewa maana yenyewe ndio majizi yako mengi ili wasikose haki ya dhamana, na ule mtindo wa wadhamini wawili lazima wawe wafanyakazi wa serikali ni batili na kinyume cha katiba, serikali imeajiri watu wangapi miongoni mwa Watanzania millioni 50?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa utawala huu yatakufika Tu,
 
WEwe ndio unapata shida yeye wala hana shida
 
Mkuu hujioni kuwa wewe ni mjinga wa kutupwa. Mahusiano yako na Mungu yataingiliwa vipi na binadamu? Ndio maana ibada huanza na kitubio.

Mimi nilikacha misa ya jana kwa vile kwenye kanisa ninalosali waliingia watu ambao si wa Mungu , siwezi kushiriki ibada moja na mawakala wa shetani wanaojulikana waziwazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…