Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

MIMI SIJAWAHI KUONA AU KUSIKIA ETI SEREKALI INATESA NA KUNYANYASA RAIA WAKE. SEREKALI YA AWAMU YA 5 INAONGOZA KWA KUTESA NA KUNYANYASA RAIA WAKE. HII SEREKALI imelipasua TAIFA... VIPANDE VIPANDE... UPENDO NA UMOJA HAKUNA. SIJUI HII AWAMU YA 5 INALIPELEKA WAPI HILI T AIFA. VIPAUMBELE HAKUNA NI MASIFA... TUU NA KUTAKA KUSIFIWA. NAONA AIBU KUJIITA M TANZANIA, SIONI FAHARI YA KUWA M TANZANIA. INASIKITIKA, INAKASIRISHA.
 
Ni aibu kubwa sana kwa Jaji Mkuu na ni aibu kubwa sana kwa Wilbard Mashauri na familia yake
Bavicha mna mattz ya akili sio bure, hivi mtu kakaa miezi mitatu huko ndani leo unasema aibu kwa mashauri, Nani kaumia kati ya Mbowe na mashauri?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hatarudia tena.
Kwenda zako... sasa mmefaidika nini zaidi.... Ya kuongezachuki. Kati ya serekali na raia? Kila chenye mwanzo kina mwisho. Hata hii serekali dhalimu ina mwisho wake.
 
Kuna haja kanisa katoliki liwe linawanyima komunyo watesaji wa binadamu wengine Bila makosa?
Fikiria mbowe amelia ndani kwa miezi nitatuma lkn Mzee anakunya damu ya yesu,na Kula mwili wa yesu Kila jumapili Bila kizuizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wa kwanza kuumia.
 
Mashauri ajiandae kulipa gharama , Mungu hajawahi kuwa fala
 
Kwenda zako... sasa mmefaidika nini said I. Ya kuongezachuki. Kati ya serekali na raia?
Tattizo ni uelewa wa ufipa tu, ila kuruka dhamana ni kosa ambalo linakufutia dhamana yenyewe, ni taratibu tu za kisheria jinsi zilivyo, hakuna mtu mwenye chuki na mtu kamanda.
 
Mwenzenu huyo
Ule usemi wa HII ZAMU YETU NA ZAMU YAO itaisha sasa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 

We shoga mjane anika shanga hapa jukwaani, ila iko siku mambo yatabadilika, hiyo siku uhakikishe unatembea kabisa na mafuta ya KYJelly, kinyume cha hapo michubuko itakuhusu.
 
Mandela wa ufipa katoka ngoja tusubirie cheche zake, ila hatarudia tena kuidharau mahakama.
Umesoma hukumu ya jaji we kenge?Kuna mahali imeonesha km asirudie kuidharau mahakama?Hii ni tafsir ya mashaur na jiwe
 
Nahisi Mbowe na matiako watakuwa wametia akili kwa sasa. Wamwache aje kupambana na Lissu.

Hiyo mashine yako imebaki mifupa tu kwa uzee hamna mtu anataka. Hamna mtu anahitaji hiyo kuni. Hiyo yako hata tukitupia mbwa haimlipi.
 
Daah kule Si kuzuri kabisa, jambo la heri kama wametoka,ila ni vema wasirudie kosa kama hilo la kuidharau mahakama
1. Kesi inadhaminika

2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.

3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana

4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana

5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.

6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.

7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani

8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani

9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.
 

Aliyoyasema Mh. Jaji Rumanyika hayana tofauti na yaloyosemwa na mahakama hiyo hiyo wakati wa kashikashi ya Mbunge Lema. Washitaki waliofanya huko ni walewale na wamerudia yaleyale yaliyozuiwa na Mahakama Kuu. Kwa nini?

Kwa sababu mfumo mbaya unaoingiliwa na wanasiasa unaleta haya. Hao wanaofanya hayo - kuwaonea wananchi katika dhamana - wanasifiwa kwa kufanya kazi nzuri na wanapandishwa vyeo. Mahakimu wanaoridhia wanakuwa Majaji.

Sijui huyo Mh. Jaji aliyetoa maamuzi hayo ya kufuta dhamana atakapowasilishiwa maombi kama haya yaliyofanywa na mahakama ya chini atatoa uamuzi upi? Atatenda kama Rumanyika? Just wondering.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…