johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa Mjini Mh Frank Nyalusi amesema yuko Dar es Salaam kwa shughuli moja tu ya kuhakikisha Tundu Antipas Lissu anakuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Nyalusi amemwambia Mwandishi wa Jambo Media kwamba Siasa za Tanzania kwa sasa hazitaki tena kiongozi anayeongea kwa kubembeleza hisani bali Kiongozi anayeongea na Kutenda na huyo si mwingine ni Lissu.
Nyalusi amesema wenyeviti wengi wamesafiri Kutoka majimboni na mikoani kuja kumshawishi Tundu Lisu atangaze kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa.
Source: Jambo TV