johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi Bilionea Mungai yuko Kambi gani?Habari zimekuwa nyingi.
Kambi MgulaniπππππHivi Bilionea Mungai yuko Kambi gani?
Kwa Mwamba mwenyewe ππKambi Mgulaniπππππ
Kamanda, na wewe tunaomba msimamo wako! Twende na Kamanda Lissu, au tuendelee na Kamanda Mbowe?Habari zimekuwa nyingi.
Mwamba gani tena?Kwa Mwamba mwenyewe ππ
Kwenda wapi tenaππππKamanda, na wewe tunaomba msimamo wako! Twende na Kamanda Lissu, au tuendelee na Kamanda Mbowe?
πππKamanda, na wewe tunaomba msimamo wako! Twende na Kamanda Lissu, au tuendelee na Kamanda Mbowe?
Waambieni uchaguzi ni mwakani na zimebakia siku tu. Wenzao wanajifua huko wenyewe bado mambo yao hayajakaaa sawa.Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa Mjini mh Frank Nyalusi amesema yuko Dar es salaam kwa Shughuli Moja tu ya kuhakikisha Tundu Antipas Lisu anakuwa Mwenyekiti wa Chadema
Nyalusi amemwambia Mwandishi wa Jambo media kwamba Siasa za Tanzania kwa sasa hazitaki tena kiongozi anayeongea kwa kubembeleza hisani bali Kiongozi anayeongea na Kutenda na huyo si mwingine ni Lisu
Nyalusi amesema wenyeviti wengi wamesafiri Kutoka majimboni na mikoani kuja kumshawishi Tundu Lisu atangaze kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa
Source: Jambo TV
CCM hawategemei uchaguzi kushinda.Waambieni uchaguzi ni mwakani na zimebakia siku tu. Wenzao wanajifua huko wenyewe bado mambo yao hayajakaaa sawa.
Hana nidhamu kabisa.Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa Mjini mh Frank Nyalusi amesema yuko Dar es salaam kwa Shughuli Moja tu ya kuhakikisha Tundu Antipas Lisu anakuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Nyalusi amemwambia Mwandishi wa Jambo Media kwamba Siasa za Tanzania kwa sasa hazitaki tena kiongozi anayeongea kwa kubembeleza hisani bali Kiongozi anayeongea na Kutenda na huyo si mwingine ni Lissu.
Nyalusi amesema wenyeviti wengi wamesafiri Kutoka majimboni na mikoani kuja kumshawishi Tundu Lisu atangaze kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa.
Source: Jambo TV
Nimemuelewa sana Lisu πHana nidhamu kabisa.
Naunga mkono hoja. CCM wamewaonea wapinzani vya kutosha sasa anatakiwa mtu mbabe wa kupambana na uonevu na asiyeogopa kufa. Mbowe apumzike ameshachoka!Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa Mjini Mh Frank Nyalusi amesema yuko Dar es Salaam kwa shughuli moja tu ya kuhakikisha Tundu Antipas Lissu anakuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Nyalusi amemwambia Mwandishi wa Jambo Media kwamba Siasa za Tanzania kwa sasa hazitaki tena kiongozi anayeongea kwa kubembeleza hisani bali Kiongozi anayeongea na Kutenda na huyo si mwingine ni Lissu.
Nyalusi amesema wenyeviti wengi wamesafiri Kutoka majimboni na mikoani kuja kumshawishi Tundu Lisu atangaze kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa.
Source: Jambo TV
Waambieni uchaguzi ni mwakani na zimebakia siku tu. Wenzao wanajifua huko wenyewe bado mambo yao hayajakaaa sawa.
Mwamba gani tena?
Mkuu naona umeshakuwa kama fisi mfuata njia mbili, round hii utapasuka msamba.Kwenda wapi tenaππππ