Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo.
Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango cha Juu wamezungumza mambo kadha wa kadha, mengi yakihusu ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na mambo ya Chama chao, hasa Chaguzi za ndani zinazoendelea