Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi akutana na Profesa J na kufanya naye Mazungumzo

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi akutana na Profesa J na kufanya naye Mazungumzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo.

Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango cha Juu wamezungumza mambo kadha wa kadha, mengi yakihusu ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na mambo ya Chama chao, hasa Chaguzi za ndani zinazoendelea

Pamoja na maisha magumu waliyonayo Watanzania, hawakuacha kumchangia Mh. Prof. J alipowaomba msaada pale alipokuwa anaumwa!
 
yaani mwana kamtembelea mwana mwenzie waliohustle wote enzi zile tayari imeshakuwa Habari.

Akija basi na hapa ilala tulipokuwa tunaminya naye ghetto kipindi cha msoto nayo iwe habari basi.

SIO KILA HABARI NI HABARI.
 
Usikalie habari
 
Na hivyo vikaptura wanatia kinyaa
Usione kinyaa mafisadi yaliyovaa suti toa hiyo mindset mbovu wajinga kibao wanavaa kanzu na majoho ya dini lakini miyeyusho tu wezi kibao wako kwenye suti na mnawapa heshima wasizostahili
 
Tutajaza server za JF hapa, akienda Sinza kwa Faiza tulete habari yuko Kwa mzazi mwenzie.
Sasa hapo huoni kabisa yuko casual kwenye maisha yake binafsi tunaifanya habari.
Sasa sijui unanifundisha, unanikataza au unanipa mkwara!
 
Back
Top Bottom