Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
sugu ashakuwa mheshimiwa tena. hio minyororo shingoni aivue tenaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo.
Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango cha Juu wamezungumza mambo kadha wa kadha, mengi yakihusu ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na mambo ya Chama chao, hasa Chaguzi za ndani zinazoendelea
View attachment 3018934
Mkapa alivaa cheni hadi kaburinisugu ashakuwa mheshimiwa tena. hio minyororo shingoni aivue tena
Hawa watu wa Mbeya wamezoea Baridi sasa huko Dar kuna joto sanaMzee sugu na hivyo vikaptula haoni aibu?
Na hayo mapensi mwambie asivae ashakuwa mheshimiwa tena. akivaa avae chumbaniMkapa alivaa cheni hadi kaburini
Bongo bhana 😆😆😆na hayo mapensi mwambie asivae ashakuwa mheshimiwa tena. akivaa avae chumbani
😆😆😆TAITA naee!!🙄🙄
Collabo ipo njiani!Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo.
Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango cha Juu wamezungumza mambo kadha wa kadha, mengi yakihusu ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na mambo ya Chama chao, hasa Chaguzi za ndani zinazoendelea
Bongo nyosoAcheni ushamba!
Kaptura zilivaliwa na viongozi wakubwa sana Duniani
Kina 👑 George
Mahatima Gandh India
Wabongo shida sana!!
Vitu vidogo vidogo mnaviruhusu viwatoe katika point muhimu
Ila upande ule wao ni kuwala mabinti wa wenzao mitaro tuNa hayo mapensi mwambie asivae ashakuwa mheshimiwa tena. akivaa avae chumbani
Nyerere mwenyewe kavaa sana kapturaaaNa hivyo vikaptura wanatia kinyaa
Nani amekwambia kuwa wamezungumzia ugumu wa maisha? Unajua kutia sukari ww. Muhimu upate picha mengine wakuachieTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo.
Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango cha Juu wamezungumza mambo kadha wa kadha, mengi yakihusu ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na mambo ya Chama chao, hasa Chaguzi za ndani zinazoendelea
Mimi ndio nilikuwa napiga hizo pichaNani amekwambia kuwa wamezungumzia ugumu wa maisha? Unajua kutia sukari ww. Muhimu upate picha mengine wakuachie
Hongera mkuu, bila shaka utakua mpambe wa mwenyekiti wa nyasa eeMimi ndio nilikuwa napiga hizo picha
Hongera mkuu, bila shaka utakua mpambe wa mwenyekiti wa nyasa eeMimi ndio nilikuwa napiga hizo picha