Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Joseph Mbilinyi ambaye pia ni Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa amepokelewa na Maofisa wa serikali ya Marekani.
Jambo kubwa zaidi ni kutambuliwa kwa ziara hiyo na mamlaka za Nchi hiyo kama ziara ya Mtu mkubwa kutokea Tanzania
Mwisho japo si kwa umuhimu, Sugu akinywa Chai ya Marekani bila Vitumbua