Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa yuko ziarani Nchini Marekani, akutana na Maofisa wa serikali na Wafanyabiashara Wakubwa

Joseph Mbilinyi ambaye pia ni Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa amepokelewa na Maofisa wa serikali ya Marekani.

View attachment 3258325View attachment 3258326

View attachment 3258329View attachment 3258330

Jambo kubwa zaidi ni kutambuliwa kwa ziara hiyo na mamlaka za Nchi hiyo kama ziara ya Mtu mkubwa kutokea Tanzania

View attachment 3258339View attachment 3258340

Mwisho japo si kwa umuhimu, Sugu akinywa Chai ya Marekani bila Vitumbua

View attachment 3258433
Inaonekana kama kapokelewa kama mzito toka serikalini na sio wa chama cha upinzani. Au nao wamejichanganya ๐Ÿ˜Ž ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜Ž
 
Labda, tena wameongezea kwamba Ujio wake umeongeza ushirikiano wa Marekani na Nchi za Africa Mashariki
 
Joseph Mbilinyi ambaye pia ni Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa amepokelewa na Maofisa wa serikali ya Marekani.

View attachment 3258325View attachment 3258326

View attachment 3258329View attachment 3258330

Jambo kubwa zaidi ni kutambuliwa kwa ziara hiyo na mamlaka za Nchi hiyo kama ziara ya Mtu mkubwa kutokea Tanzania

View attachment 3258339View attachment 3258340

Mwisho japo si kwa umuhimu, Sugu akinywa Chai ya Marekani bila Vitumbua

View attachment 3258433
Jogwe kama Jogwe Vs Dr Tulia na Visanga vya Bodaboda๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom