Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haya, kaa tayari kupokea kwa uchungu mkutano wa Sugu na Donald TrumpAmekwenda kuomba kujengewa ukumbi wa bongo fleva honor!
HakikaCheo kina mwisho na kinasahaulika bali heshima inadumu milele na milele na haisahauliki kamwe.
Naiona kila dalili TAL kukutana na TRUMP. Hiyo US state visit sio ya bure.Haya, kaa tayari kupokea kwa uchungu mkutano wa Sugu na Donald Trump
Sasa unalia nini?YAAANI HAPO HAJAIZUNGUMZIA CHADEMA HATA SEHEMU MOJA KAENDA KWA MAMBO YAKE BINAFSI CHADEMA IMESHAMTUPA NAYE KAITUPA WAMEBAKI WAHUNI WATUPU CHADEMA
Usiwaamshe waliolalaNaiona kila dalili TAL kukutana na TRUMP. Hiyo US state visit sio ya bure.
Athar za wizi wa mitihani nibaya sana. Kamwe aliyeshiriki wizi huu huisha kutoelewa hata mambo ya kawaida yakijadiliwa. Yeye hurukia VINGINEAmekwenda kuomba kujengewa ukumbi wa bongo fleva honor!
Kama yule aliyeuza BANDARI KWA WARABUYAAANI HAPO HAJAIZUNGUMZIA CHADEMA HATA SEHEMU MOJA KAENDA KWA MAMBO YAKE BINAFSI CHADEMA IMESHAMTUPA NAYE KAITUPA WAMEBAKI WAHUNI WATUPU CHADEMA
Ahahahahaha! Hii komedi ingeshindanishwa siku ile The Super Some Masaki ingechukua namba moja. Ahahahahaha!!!Haya, kaa tayari kupokea kwa uchungu mkutano wa Sugu na Donald Trump
Ali kamwe kashiriki kuiba mitihani?Athar za wizi wa mitihani nibaya sana. Kamwe aliyeshiriki wizi huu huisha kutoelewa hata mambo ya kawaida yakijadiliwa. Yeye hurukia VINGINE
Asante kwa TaarifaHuyu jamaa jina lake huwaga linambeba sana.
Jina " Joseph/Yusufu" Huwaga lina nguvu za ajabu sana
Unateseka ukiwa wapi?Ahahahahaha! Hii komedi ingeshindanishwa siku ile The Super Some Masaki ingechukua namba moja. Ahahahahaha!!!