Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa yuko ziarani Nchini Marekani, akutana na Maofisa wa serikali na Wafanyabiashara Wakubwa

Inaonekana kama kapokelewa kama mzito toka serikalini na sio wa chama cha upinzani. Au nao wamejichanganya 😎 😳😎
 
Inaonekana kama kapokelewa kama mzito toka serikalini na sio wa chama cha upinzani. Au nao wamejichanganya 😎 😳😎
Labda, tena wameongezea kwamba Ujio wake umeongeza ushirikiano wa Marekani na Nchi za Africa Mashariki
 
Jogwe kama Jogwe Vs Dr Tulia na Visanga vya BodabodaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…