Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilwa, Abdshakuru Abubakari Mohammed amesema kwa sasa CHADEMA inatumia mabavu na haifuati katiba ya chama.
"Leo tunapoizungumzia Chadema tunaamini sisi ni chama ambacho kinafuata katiba na sheria lakini mpaka sasa ndio chama ambacho kinaongozwa kwa kutumia mateke na mabavu".
"Hiki ni chama cha demokrasia na maendeleo Chadema. Ni chama ambacho kila aliyeingia kukifuata chama hiki amefuata kwa sababu ni chama kinachofuata misingi ya katiba".
"Tunamuomba msimamizi wa vyama vya siasa aliangalie pia kwa makini... atuambie kitu gani kimebainika na kwa nini hawafuati katiba tunafuata mabavu hii si sawa".
Soma Pia:

- Mwenyekiti wa CHADEMA Kilwa: Heche achunguzwe tuhuma za Fedha ndani ya Chama
- Katibu wa CHADEMA Jimbo la Handeni Mjini: Heche, akae pembeni ili kupisha uchunguzi tuhuma za ubadhilifu wa fedha za chama
- Ashura Masoud: Tuhuma za Heche kula pesa hazina ukweli, hahusiki na fedha za CHADEMA