Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilwa, Abdshakuru Abubakari Mohammed amesema kwa sasa CHADEMA inatumia mabavu na haifuati katiba ya chama.
"Leo tunapoizungumzia Chadema tunaamini sisi ni chama ambacho kinafuata katiba na sheria lakini mpaka sasa ndio chama ambacho
kinaongozwa kwa kutumia mateke na mabavu".
"Hiki ni chama cha demokrasia na maendeleo Chadema. Ni chama ambacho kila aliyeingia kukifuata chama hiki amefuata kwa sababu ni
chama kinachofuata misingi ya katiba".
"Tunamuomba msimamizi wa vyama vya siasa aliangalie pia kwa makini... atuambie kitu gani kimebainika na kwa nini hawafuati katiba tunafuata mabavu hii si sawa".
Soma Pia:
Kutoka kwa: Musagili wa fyama nchini Tanganyika
Kwenda Kwa:
1. Mwenyekiti wa Chadema, Kilwa
2. Katibu wa Chadema, Handeni mjini
Yah: KUFUTWA KWA CHADEMA KWENYE DAFTARI LA USAJILI
Ndugu Mwenyekiti na katibu wa Chadema Kilwa na Handeni mjini mtawaliwa.
Mimi kama msajili wenyu wa fyama nakiri kupokea ushauri wenyu wa kikifutia usajili kyama "kyenu" cha Chadomo.
Baada ya kulijadili kwa kina wazo lenu, tumekubaliana kwamba kukifutia usajili chadomo itakuwa balaa kubwa kwa Nchi. Yaani kwa sasa, hapa nchini, hakuna chama kinachopendwa kama chadomo—iwe kwa Genziii, watoto, wazee nk.
Na kama mnavyojua nchi yetu imewekewa kauzibe kila mahali iwe EU, UN, KOMONwezi, SADC, USA...wote wametupiga spana kwa sababu ya chadomo na hii kesi yetu fake juu ya Lisso.
Sasa hebu nyie fikirieni, mimi na "ualaza" wangu huu niamue kikifutia chadomo usajili—si itakuwa msala!
Mngeshauri tukifutie usajili CHAUMMA au ACT mbona ni fasta tu kama kumsukuma mlevi. Lakini chadomo? Weee.
Kama mmeshindwa kazi tuliyowatuma ya kukiua chadomo huko mashinani, ni bora mrudishe pesa tulizowapa.
Huu ushauri wenu wa kingesengese pelekeeni wake zenu. Shit