Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Milioni moja imemfikiaCHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Kilwa kimetoa msimamo wao juu ya tuhuma za Fedha ndani ya Chama hicho zinazomuhusisha Makamu Mwenyekiti John Heche.
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilwa Abdul Shakur Abubakar Mohamed ametangaza msimamo huo wa CHADEMA Kilwa.
Chama ili kiwe imara, hizi ndio njia huwa kinapitia. Uzuri cdm hivi vimetego vidogo vidogo huwa inavishinda. Hii single imeshachuja fungu litakata na watatulia wenyewe.Hivi CHADEMA wanapochaguana huwa wanafahamiana vema au ili mradi tu mtu ni mtanzania yeyote anaweza kuwa mwanachama/kada wao. maana wengine ni kama mamluki, wanakifedhehesha chama chawa huku wakijua kipo kwenye wakati mgumu. Wangetulia tu wapite kipindi kigumu ndio waanze kuwajibishana