Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Songwe: Tumekaa tumeona tusimame na Tundu Lissu na siyo kama tunampuuza Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Uchaguzi unapamba moto

==

Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine

Hali imekuwa tofauti kwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Songwe Isakwisa Lupembe baada ya kusema Wamejirisha watu wanachama wanamuhitaji zaidi ni Tundu Lissu awe mwenyekiti wa Taifa
 
View attachment 3191401
Huyu kwenye video anafanana na yule wa Njombe jana, sijui wana undugu?
 
Ni siku chache zimepita toka Wenyeviti wa CHADEMA kujikusanya na kumshawishi Freeman Mbowe kugombea nafasi ya uenyekiti kwa mara nyingine
Walimtega ili wavute pesa, subiri uhalisia
 
Mtafanya jambo la maana sana enyi wenyeviti. Mpumzisheni mbowe chama kisalimike kisifie mikononi mwake baada ya uchaguzi kama mtamrudisha. Chagueni lissu, maono mapya, nguvu mpya, muelekeo mpya
 
Shida sio kumtaka,
Ni je niny viongozi mnaona TL anafaa kuongoza chama ?
 
Back
Top Bottom