Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha maombi kwa ajili ya Mbowe

Polisi wamepewa barua na nani ya kumkamata huyo kamanda?
 
Huyu mwamba unamfananisha na faru John?. Hilo genge lenu la Ufipa lipo so disorganized, hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayeweza kuwaamini magaidi.
Lakini na yeye si anapitia machungu ya watawala wasio na hekima?
 
CHADEMA haitawahi kuleta maendeleo yoyote kwenye hii nchi. Hata hiyo KATIBA MPYA haitaletwa na CHADEMA Bali italetwa na CCM, naamini hivyo.

CHADEMA is a disorganized political party with no visionary leadership.
 
Huyu mwamba unamfananisha na faru John?. Hilo genge lenu la Ufipa lipo so disorganized, hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayeweza kuwaamini magaidi.
Ndg zangu twajidanganya sana. Hali halisi huku si kama usemavyo. Matendo ya serikali kwa chadema yanakiinua sana hiki chama. Kutegemea nguvu za dola kuna mwisho wake. Tutalia muda si mrefu.
 
CHADEMA haitawahi kuleta maendeleo yoyote kwenye hii nchi. Hata hiyo KATIBA MPYA haitaletwa na CHADEMA Bali italetwa na CCM, naamini hivyo.

CHADEMA is a disorganized political party with no visionary leadership.
unajua sana kiingereza kuliko mwendazake
 
Mi naona inatosha sasa ifike mwisho tuseme basi, kwa maana Chadema ina slogani yake nzuri tu na kama ni wakweli nadhani saa imefika watumie sasa ile slogani ya KAMA NOMA NA IWE NOMA imeimbwa sana na si kutumia vinanda tena kama huku kanisani.
Rudisheni heshima ya chama chenu kwa kutoka maana ni kama mtu amewatia dole la jichoni makusudi alafu mnapotezea au mmezoea.
Dhihirisheni hata hili tu kuwa mnachosema ndicho mtachofanya mtapunguza aibu hii kubwa sana kwenu Kha!
Ninyi kila siku kulalamika tu jamani.
 
Huyu mwamba unamfananisha na faru John?. Hilo genge lenu la Ufipa lipo so disorganized, hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayeweza kuwaamini magaidi.
Kama hayo ni ya kweli, si mngekuwa mmeishaacha kuhangaika nao, kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…