Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amethibitisha kuwa atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Rungwe amesema hayo leo Mei 15, 2025, katika mahojiano na TBC1, ambapo alizungumza kuhusu mustakabali wa chama hicho kuelekea uchaguzi huo.
"Kwa kuwa sijawahi kupata Urais tamaa yangu ya kuwa Rais ipo palepale, nitagombea hata mara 100".
Pia, Soma
"Kwa kuwa sijawahi kupata Urais tamaa yangu ya kuwa Rais ipo palepale, nitagombea hata mara 100".