Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana NCCR Mageuzi, Nicolas Clinton ang'olewa rasmi

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana NCCR Mageuzi, Nicolas Clinton ang'olewa rasmi

Joined
Apr 15, 2015
Posts
26
Reaction score
25
Taarifa Rasmi kutoka ndani ya Jumuiya ya Vijana NCCR aliyekuwa Mwenyekiti wa jumuiya hiyo kwa miaka miwili Nicolas Clinton ameng'olewa kwenye nafasi hiyo na kamati kuu ya chama hicho.

Katika ukarasa wake wa Facebook ameandika maneno ya kukishukuru chama na Jumuiya ya Vijana kwa kuongoza ndani ya kipindi hicho.

Shukurani zangu za dhati ziende kwa chama chetu NCCR Mageuzi na JUMUIYA YA VIJANA WA MAGEUZI (JUVIMA) Pamoja na Vijana wote Nchini, nimekuwa Mwenyekiti wa JUVIMA Taifa kwa miaka miwili iliyopita kwa awamu nne za vipindi vya miezi sita sita kwa mujibu wa kanuni za chama chetu. Hivyo kwa Taratibu na kanuni zetu muda wangu wa kuiongoza JUVIMA umeisha, nawatakia kila la kheri Viongozi Wapya wa JUMUIYA yetu.

VIJANA NGUVU YA MAGEUZI.

Taarifa zaidi zinasema Jumuiya imepeta Viongozi wapya na waamiaji kutoka CHADEMA na wasiyo kijua chama na wenye tabia za kutilia shaka hasa Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya.

Badhi ya Vijana wa chama hicho wamemtuumu Commissioner wa Mkoa wa Dar es Salaam na genge lake kuweka watu wake kwenye nafasi nyeti za juu za chama hicho na Jumuiya zake hasa Vijana na Wanawake.

Clinton ni miongoni mwa wanasiasa wachanga na wenye kipaji sana, vyama Upinzani viwe makini na watu wa kuokoteleza na kuwapa majukumu makubwa sana zaidi viwalee vijana wenye moyo wa kujitolea na wenye kuvumilia.

NCCR inaitaji waliyo tayari na wavumilivu na siyo walevi na wasiyokuwa na maadili maana chama hiki jicho la Upinzani huko mbele.
 
Sasa ACT mnaripoti habari za NCCR kweli?
 
So sasa hvi kuanzia ccm hadi vyama Bs vyake vinatoa cream kutoka Chadema? Hongera sana kamanda Mbowe, wewe ni mwamba wa siasa za bongo; unajua kupika vipaji
 
Back
Top Bottom