Pre GE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi CCM Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki mwaka huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia

====

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Maganya ametoa kauli hiyo Mkoani Songwe hapa wakati akizungumza na wanachama wa jumuiya hiyo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kukijenga chama katika mkoa huo.

Amesema uchaguzi ni mchakato na kwamba chama kimeongeza wigo wa wapiga kura za maoni kuwapata wagombea katika ngazi ya udiwani, ubunge na urais.
Screenshot 2025-02-20 132425.png

Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Aseme wamejipanga kushindana kwa haki..sio kushinda kwa haki. Anajuaje kama atamshinda mpinzani wake?
 
HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia

====

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Maganya ametoa kauli hiyo Mkoani Songwe hapa wakati akizungumza na wanachama wa jumuiya hiyo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kukijenga chama katika mkoa huo.

Amesema uchaguzi ni mchakato na kwamba chama kimeongeza wigo wa wapiga kura za maoni kuwapata wagombea katika ngazi ya udiwani, ubunge na urais.
Huo ndiyo ukweli bila wizi wa kura hakuna ushindi
 
Back
Top Bottom