the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia
====
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Maganya ametoa kauli hiyo Mkoani Songwe hapa wakati akizungumza na wanachama wa jumuiya hiyo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kukijenga chama katika mkoa huo.
Amesema uchaguzi ni mchakato na kwamba chama kimeongeza wigo wa wapiga kura za maoni kuwapata wagombea katika ngazi ya udiwani, ubunge na urais.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025