PreGE2025 Mwenyekiti wa 'Kalamu ya Samia inaongea' Ahmed Kombo awataka Watanzania kujiandaa kuipokea Kalamu ya Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Kwahiyo kazi ya Mwenge wa Uhuru ni nini sasa?

==

Mwenyekiti wa "Kalamu ya Samia Inaongea" Ahmed Kombo amewajuza Watanzania ya kwamba kila mkoa uwe tayari kuipokea Kalamu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani lengo ni kuangazia Miradi mbalimbali iliyotekelezwa na Mama pamoja na kumuombea Dua katika Majukumu yake ya kila siku.

Safi analenga maendeleo siyo wale wa kula nyama choma tone tone.Matapeli wa kisiasa
 
Wakuu

Mwenyekiti wa "Kalamu ya Samia Inaongea" Ahmed Kombo amewajuza Watanzania ya kwamba kila mkoa uwe tayari kuipokea Kalamu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani lengo ni kuangazia Miradi mbalimbali iliyotekelezwa na Mama pamoja na kumuombea Dua katika Majukumu yake ya kila siku.

Sasa hivi kila mwenye akop na njaaa anakuja na Upumbavu tu ili apate cha kuweka tumboni. I hate this.
 
Back
Top Bottom