Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Pole Sana Bwana Kilomoni Maana Sio Kwa Povu Hili [emoji3][emoji3][emoji3]Uhamisho Mbona ni Kawaida Hivi nyie Watz kika kitu you make a story out of it...Mbaya zaidi Negativity...Kwani Pale Nzega Unapaonaje ?? Ni Mji Mkubwa tu ule na bado yeye Ndio DED....Angeondolewa je?? Usisahau pia kazi hizi sio za Kudumu hata Rais anahudumu kwa muda anaondoka.
Kibamba bado ana ofisi Ya Umma nzuri tu Nzega pale wewe andika tu yako hapa.Pole Sana Bwana Kilomoni Maana Sio Kwa Povu Hili [emoji3][emoji3][emoji3]
Wanasahau kuwa hata mishaara yao na maslahi ni yaleyale.Uhamisho Mbona ni Kawaida Hivi nyie Watz kika kitu you make a story out of it...Mbaya zaidi Negativity...Kwani Pale Nzega Unapaonaje ?? Ni Mji Mkubwa tu ule na bado yeye Ndio DED....Angeondolewa je?? Usisahau pia kazi hizi sio za Kudumu hata Rais anahudumu kwa muda anaondoka.
Wahini CAS mkashitakiWakuu Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Wakili Kibamba amehamishwa Kituo Cha Kazi Kutoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji la Mwanza Na Kupelekwa Kuwa Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Wilaya Nzega.
Kibamba ndio Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi ya Tff ambe alifanya fitina na figisu Mpaka Karia akajipitisha Mwenyewe Kuwa Mgombea Pekee Wa Nafasi ya Rais Wa Tff.
Hii Ya Wakili Mwenzangu Msomi Kibamba ni Kama Demotion.
Unatoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji Kama Mwanza Unapelekewa Kuwa DED Nzega.
Huwezi Kumlinganisha Mkurugenzi Wa Jiji La Mwanza Akawa Sawa Na Mkurugenzi Wa wilaya Ya Nzega, Hii Ya Kilomoni Kwenye Sheria Tunaita Silent Demotion [emoji91]