Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi Wa TFF Adv. Kibamba ashushwa Cheo

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Wakili Kibamba amehamishwa Kituo Cha Kazi Kutoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji la Mwanza Na Kupelekwa Kuwa Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Wilaya Nzega.

Kibamba ndio Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi ya Tff ambe alifanya fitina na figisu Mpaka Karia akajipitisha Mwenyewe Kuwa Mgombea Pekee Wa Nafasi ya Rais Wa Tff.

Hii Ya Wakili Mwenzangu Msomi Kibamba ni Kama Demotion.

Unatoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji Kama Mwanza Unapelekewa Kuwa DED Nzega.

Huwezi Kumlinganisha Mkurugenzi Wa Jiji La Mwanza Akawa Sawa Na Mkurugenzi Wa wilaya Ya Nzega, Hii Ya Kilomoni Kwenye Sheria Tunaita Silent Demotion [emoji91]
 
Heri angepelekwa hata Nzega TC,hiyo Nzega DC kutoka Mwanza CC ni zaidi ya demotion.
 
Uhamisho Mbona ni Kawaida Hivi nyie Watz kika kitu you make a story out of it...Mbaya zaidi Negativity...Kwani Pale Nzega Unapaonaje ?? Ni Mji Mkubwa tu ule na bado yeye Ndio DED....Angeondolewa je?? Usisahau pia kazi hizi sio za Kudumu hata Rais anahudumu kwa muda anaondoka.
 
Ukiwa kwenye kada za kiteuliwa, tegemea kupangia kituo chochote cha kazi kutegemea na matakwa ya anayeteua
 
Uhamisho Mbona ni Kawaida Hivi nyie Watz kika kitu you make a story out of it...Mbaya zaidi Negativity...Kwani Pale Nzega Unapaonaje ?? Ni Mji Mkubwa tu ule na bado yeye Ndio DED....Angeondolewa je?? Usisahau pia kazi hizi sio za Kudumu hata Rais anahudumu kwa muda anaondoka.
Pole Sana Bwana Kilomoni Maana Sio Kwa Povu Hili [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uhamisho Mbona ni Kawaida Hivi nyie Watz kika kitu you make a story out of it...Mbaya zaidi Negativity...Kwani Pale Nzega Unapaonaje ?? Ni Mji Mkubwa tu ule na bado yeye Ndio DED....Angeondolewa je?? Usisahau pia kazi hizi sio za Kudumu hata Rais anahudumu kwa muda anaondoka.
Wanasahau kuwa hata mishaara yao na maslahi ni yaleyale.
 
Kilicho badilika ni cheo tu ila bado ni mtumishi wa umma na anakula mpunga wake kama kawaida.
 
Wakuu Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Wakili Kibamba amehamishwa Kituo Cha Kazi Kutoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji la Mwanza Na Kupelekwa Kuwa Mkurugenzi Wa Halmashauri Ya Wilaya Nzega.

Kibamba ndio Mwenyekiti Wa Kamati ya Uchaguzi ya Tff ambe alifanya fitina na figisu Mpaka Karia akajipitisha Mwenyewe Kuwa Mgombea Pekee Wa Nafasi ya Rais Wa Tff.

Hii Ya Wakili Mwenzangu Msomi Kibamba ni Kama Demotion.

Unatoka Kuwa Mkurugenzi Wa Jiji Kama Mwanza Unapelekewa Kuwa DED Nzega.

Huwezi Kumlinganisha Mkurugenzi Wa Jiji La Mwanza Akawa Sawa Na Mkurugenzi Wa wilaya Ya Nzega, Hii Ya Kilomoni Kwenye Sheria Tunaita Silent Demotion [emoji91]
Wahini CAS mkashitaki
 
Back
Top Bottom