Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwenyekiti wa Kampeni ya *Mama Asemewe, Ndugu Geofrey Kiliba, amewataka wanavyuo kote nchini kutumia mitandao ya kijamii na elimu zao kueleza mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Pre GE2025 - Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?
Ameeleza hayo katika Kikao cha Maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni hiyo kilichofanyika Jijini Arusha, Ndugu Kiliba amesisitiza umuhimu wa vijana haswa Wanavyuo kutumia maarifa yao kuelimisha jamii kuhusu maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali kama miundombinu, afya, elimu, na ustawi wa jamii.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025