Mwenyekiti wa Kampeni ya *Mama Asemewe, Ndugu Geofrey Kiliba, amewataka wanavyuo kote nchini kutumia mitandao ya kijamii na elimu zao kueleza mafanikio makubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ameeleza hayo katika Kikao cha Maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni hiyo kilichofanyika Jijini Arusha, Ndugu Kiliba amesisitiza umuhimu wa vijana haswa Wanavyuo kutumia maarifa yao kuelimisha jamii kuhusu maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali kama miundombinu, afya, elimu, na ustawi wa jamii.
Labda muwatafute mabibi wenzake na mababu kama kina wasira, vijana wanaojielewa hawawezi fanya ujinga huo, watu wanataka mabadiliko, acheni uchaguzi wa huru na wa Haki, hayo maendeleo amefanya kwa pesa zake au ni kodi zetu,

Hizi teuzi za Ma DC,DED,RAS zitatuletea misemo mingi sana mwaka huu,hii kazi TBC pekee wanaweza kuifanya sasa huyu nae kaibuka na lake,bado Mangere nae atakuja na lake,bado Wema Sepetu tutasema tu mwaka huu