Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi akutana na Maranja Masese na kufanya naye Mazungumzo Mazito

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.

Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania, ikiwemo teuzi za Marehemu.

Screenshot_2024-06-15-20-00-25-1.png
Screenshot_2024-06-15-20-00-43-1.png
 
CDM mmeishiwa content kabisa?? Uchaguzi umekaribia, tafuteni HOJA zenye ushawishi, msiwe watu wa kulalamika kila siku kuwa mnaibiwa kura kumbe hamna sera
 
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.

Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania, ikiwemo teuzi za Marehemu.

View attachment 3018198View attachment 3018199
Kuletwa kwa thread hii ni kuidhalilisha JF, kumdhalilisha mleta thread pamoja na watumiaji wote.

Ova
 
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.

Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania, ikiwemo teuzi za Marehemu.

View attachment 3018198View attachment 3018199
Yaani mfanyabiashara wa kimataifa wakati hoteli anayotegemea kumpatia kipato haina vyumba vya kula kumi na tano,maajabu nchi hayawezi kuisha aisee🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Chama cha Masela na watukanaji...Eti mazungumzo mazito ..
Hivi kweli kiumbe kama Sugu anawezaje kuwa na mazungumzo mazito na mjinga kama masese ambae anakesha mitandaoni kuvurumisha matusi tu ?
 
Dah ila Chadema 🙌 sasa huyo masesere ndio nani? Yn mtu akiwa maarufu mitandaoni huko kwa Kuisifia chadomo bc tayari n kiongozi wenu 🗑️
 
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.

Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania, ikiwemo teuzi za Marehemu.

View attachment 3018198View attachment 3018199
Koma kutuletea habari za hawa Wavuta Bange
 
Back
Top Bottom